Mohamed Mbelwa
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 507
- 272
Nimejiuliza sana kabla yakuja hapa jf. Hawa ccm ni kina nani? Hadi wanataka kutuharibia katiba. Tume imezunguka nchi nzima imetumia pesa yetu nyingi. Imekusanya maoni ya wananchi wa tanzania. Watanzania wamependekeza namna ya muungano wanaohitaji. Sasa hawa watu wachache wanaongozwa na kina kinana tena wenye tuhuma nyingi. Leo wanataka kutuchagulia katiba wanayo itaka wao. Hivi ni kwa nini?. Au wanatuona sisi ni maboga!!!?