Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,871
Mfumo wa ccm hauwezi kubadilika,kama ccm imekataa rasimu ya wananchi iliyoandaliwa na wataalamu wa sheria akina jaji warioba,Paramaganda Kabudi,Salm Ahmed Salm,Othman na Humphrey polepole,
Wakitumia Non random sampling methodology
Wakasikiliza maoni ya wananchi,wakaleta
* kupunguza idadi ya wabunge kutoka 325 hadi 75, ccm ikakataa na sasa imeongeza majimbo ili wabunge wawe 400
* Muda wa kikomo cha muda awamu tatu ccm imekataa,
* kuzuia viongozi kufungua akaunti nje ya nchi,ccm imepinga,
* kuweka nguvu ya wananchi kuwawajibisha,wabunge watakaounga hoja/ sera ambayo inalengo la kuwaumiza wananchi ccm imekataa,
* kuzuia viongozi wa umma,wanapopewa zawadi ama nje au ndani ya nchi ziwe mali za umma na zikabidhiwe kwa katibu mkuu ikulu ccm wamekataa,
Waliotangaza nia,ndani ya ccm walikuwepo,katiba hiyo ingekuwa muarobaini wa hayo wanayoyadanganya sasa kuwa watayashughulikia!
Ni lipi hawakuliona,ambalo kama kweli wanauzalendo wangeweza kuipitisha ili wakishika dola iwasaidie kupambana na hayo?
Watanzania,kila kiongozi anayeingia madarakani anatumia katiba atakayoikuta kupambana na ujinga,maradhi,umaskini,ufisadi na rushwa
Kwa kuwa waliunga mkono katiba,mbovu leo wanawezaje kuja na kauli nyingi mara safari ya matumaini,mara hivi,mara kule
Kundi la waliofukuzwa uongozi wa umma, leo bila hata punje ya aibu wanatangaza kugombea urais.
Ccm miaka ya 1977-1983 ilikuwa katika mpito kutoka chama cha wananchi kwenda chama cha mafisadi . Hii ndio ccm,hawa ndio makada waliondani ya chama cha mafisadi ambacho kinahofu kupambana na ufisadi na rushwa.
Maana kikianza kinatulizwa,kauli ya vua gamba alivua Rostam Aziz tu,wengine wakakataa!
Ccm ndani ya wagombea16 ambao nimesema wamezaliwa ndani ya ufisadi wakakulia ndani ya ufisadi,,wakalelewa ndani ya ufisadi,hawawezi kutangaza kuokoka wasipoumia kwanza!
Ccm waogope kama ukoma ni kundi la nzige!