baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,971
- 18,641
CCM kuna watu wanaona chama ni mali yao. Ili kufikia malengo yao binafsi, lazima wapitie chama na kupata nafasi serikalini ili wafikie malengo yao ya kiuchumi.
Hawa ndio wanaoogopa kitu kinachoitwa Tume Huru ya Uchaguzi. Hata ndani ya CCM, hawataki kuwepo kwa tume huru kwa sababu wanaogopa kilichomkuta Mbowe ndani ya chama.
Wanaamini kuwa wakiruhusu tume huru, chama kinaweza kwenda kwa CCM wazalendo.