CCM ni kweli inaogopa Tume huru ya Uchaguzi inaogopa kilichomkuta Mbowe

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,971
Reaction score
18,641
CCM kuna watu wanaona chama ni mali yao. Ili kufikia malengo yao binafsi, lazima wapitie chama na kupata nafasi serikalini ili wafikie malengo yao ya kiuchumi.

Hawa ndio wanaoogopa kitu kinachoitwa Tume Huru ya Uchaguzi. Hata ndani ya CCM, hawataki kuwepo kwa tume huru kwa sababu wanaogopa kilichomkuta Mbowe ndani ya chama.

Wanaamini kuwa wakiruhusu tume huru, chama kinaweza kwenda kwa CCM wazalendo.
 
ok gentleman
 
CCM ikiruhusu tume huru ya uchaguzi, saa mbili tu asubuhi wapinzani watashangilia ushindi siku ya uchaguzi
 
CCM ikiruhusu tume huru ya uchaguzi, saa mbili tu asubuhi wapinzani watashangilia ushindi siku ya uchaguzi

CCM hata uchaguzi wake wa ndani inaogopa huo ndo ukweli wote tunaona Samia alivyopatikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…