Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Uimara na umadhubuti wa CCM ya leo, ni matokeo ya muungano wa vyama vya siasa vya upinzani nchini, vya ASP na TANU.
Hii ikimaanisha , katika siasa za Tanzania, hakuna namna upinzani ulioparaganyika kama ulivyo sasa, kuutikisa umadhubuti wa upinzani uliounganika vizuri sana na kuzaa CCM.
Ni ndoto za mchana kwa ka-chama kamoja tu ka siasa eti kufikiria kuipa changamoto CCM iliyotokana na mungano wa hiyari na wa kizalendo wa vyama vya upinzani vya ASP na TANU.
Muungano wa hiyari wa upinzani usiofanana na huo kamwe hauwezi kuutikisa utawala wa CCM wenye muungano wa upinzani wa kizalendo wenye nia na dhamira ya kuwatumikia wananchi na waTanzania wote.🐒
Mungu Ibariki Tanzania