vyama vya upinzani vya ASP na TANU viliungana na kuzaa CCM imara ambayo haitikisiki.Hii siyo hoja, ni nostalgia ya kihistoria iliyochanganywa na propaganda, TANU na ASP walichotunga ni historia, sio kinga ya milele. Leo CCM ni chama cha legacy, not legitimacy, kinaishi kwa kumbukumbu, si kwa utendaji.
Muungano wa ASP na TANU ni ndoa ya zamani, mke anaumwa na bwana kalewa, halafu unatuambia hawatikisiki? Siasa si kumbukumbu ya harusi, ni hali ya ndoa ya sasa hivi.vyama vya upinzani vya ASP na TANU viliungana na kuzaa CCM imara ambayo haitikisiki.
upinzani wa kinafiki miongoni mwa vyama vya siasa nchini ni nonsense kudhoofisha muungano wa ASP na TANU ulozaa CCM.
That's the point π
Naunga mkono hoja asilimia 100% chini ya 100%. Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.Uimara na umadhubuti wa CCM ya leo, ni matokeo ya muungano wa vyama vya siasa vya upinzani nchini, vya ASP na TANU.
Hii ikimaanisha , katika siasa za Tanzania, hakuna namna upinzani ulioparaganyika kama ulivyo sasa, kuutikisa umadhubuti wa upinzani uliounganika vizuri sana na kuzaa CCM.
Ni ndoto za mchana kwa ka-chama kamoja tu ka siasa eti kufikiria kuipa changamoto CCM iliyotokana na mungano wa hiyari na wa kizalendo wa vyama vya upinzani vya ASP na TANU.
Muungano wa hiyari wa upinzani usiofanana na huo kamwe hauwezi kuutikisa utawala wa CCM wenye muungano wa upinzani wa kizalendo wenye nia na dhamira ya kuwatumikia wananchi na waTanzania wote.π
Mungu Ibariki Tanzania
Naunga mkono hoja asilimia 100% chini ya 100%. Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
P