Hivyo hamna jipya la kuwadanganya wananchi, hela mnayoiba ni nyingi kuliko gharama za majenzi mnayofanya, ambazo hela zake zinatokana na wananchi.
TANU ilituwachia vitu vyote mlipobadili gear na kujiita CCM mkameza kila kitu,hivi CCM hamkuikuta Tanzania ikiwa na ndege zake, ikiwa na treni zake, ikiwa na meli zake.
Kusema kweli CCM ni mahasidi sana ,wameharibu kila kitu na hawajui kuendeleza,nuksi imetawala nchini idadi ya ajali za barababarani baharini angani, vifo vimeongezeka kupita maelezo na vinazidi kila leo hizi si dalili nzuri kwa utawala uliopo. Na msijidangaje kwamba mtafanya jema hamna. Kahaba akijipamba anaonekana mzuri lakini hamna kitu. Kama ni maradhi atakuwa muambukizaji tu kwa uzuri wake.
CCM inajipamba kwa mazuri lakini hamna kitu mabaya wanayolalamika wananchi ni mengi, mnayajua haina haja ya kuyahesabu.
Watu wasiojulikana. Hivi intelijensiya ya Tanzania inashindwa kuwajua watu wasiojulikana? Waliookotwa kwenye vipolo, walioteka, waliowapiga risasi Lissu na dereva wake; hivi hamwoni kama hii ni hatari?
Mnataka kutuambia watu hawa wasiojulikana wanaweza kuvamia hata ikulu au wanaokula mahindi njiani kisha wasijulikane na kutowekea wasiko julikana? Basi vunjeni usalama wa Taifa uundwe upya, hali hii ni hatari kwa viongozi wetu wa serikali.
Halafu niichaguwe CCM itakuwa nina wazimu!