Exaud J. Makyao
JF-Expert Member
- Nov 30, 2008
- 1,518
- 24
Kujenga nchi....teh tehKwa Muda mrefu nimekuwa nikisikia mbiu hii kwamba ''CCM NI NAMBARI ONE''.
Yaani CCM NI NAMBA MOJA.
Baada ya kufikiri sana, nimegundua kuwa sijui maana ya SLOGAN hii.
Naamini hapa jamvini huenda mwaweza kunijulisha kuwa ,
CCM NI NAMBARI ONE katika nini hasa?
Au ni msemo tu wana JF?
Jibu mbona ni rahisi sana,CCM ni Nambari One Katika UFISADI.
ufisadikwa muda mrefu nimekuwa nikisikia mbiu hii kwamba ''ccm ni nambari one''.
yaani ccm ni namba moja.
baada ya kufikiri sana, nimegundua kuwa sijui maana ya slogan hii.
naamini hapa jamvini huenda mwaweza kunijulisha kuwa ,
ccm ni nambari one katika nini hasa?
au ni msemo tu wana jf?
Jibu mbona ni rahisi sana,
CCM ni Nambari One Katika UFISADI.
Chama cha kwanza kusajiliwa baada ya mfumo wa vyama vingi.
Nakupata mfumwa.
Kilisajiliwa lini mkuu?
Mamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.Ya kwanza kuinua elimu kama hivi
Kama darasa liko hivyo je, ofisi ya walimu pamoja na vyoo (Toilets) vitakuwaje?Ya kwanza kuinua elimu kama hivi
Kama darasa liko hivyo je, ofisi ya walimu pamoja na vyoo (Toilets) vitakuwaje?
Ufisadi na wizi wa kura, pia na uongo/ulaghai.
Jamani!CCm nambari wani kwa kuvuruga elimu ya watoto
ya kwanza kuongeza vifo vya wazazi
ya kwanza kwa kuchafua miji
ya kwanza kwa kuua siasa ya ujamaa na kujitegemea
ya kwanza kuongeza umaskini kati ya wananchi
ya kwanza kwa kuua mfumo wa demokrasia