cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Unalosema ni kweli wote waliokuwa mawaziri wote wamepita wengi walitumia kigezo nimetumwa na Raisi kwahyo kuogopeka wakati urahisi na bunge lijalo wanarudi wabunge wale wale maana hela ya kiinua mgongo wamehonga sitegemei bunge lijalo kuwa na jipya maana damu ni zile zile, hata huko viti maalumu walioshinda asilimia kubwa ni waliokuwa viti maalumu wakaweza hata kuhonga.mkuu kwa uzoefu wangu siasa ni upepo tu ,haina mambo ya kujiandaa ipo kama bahati nasibu.Wewe unadhani wale wabunge waliokuwa viti maalumu akina Mpango, Ummy mwalimu, Ndalichako na Kabudi kwenye Majimbo waliopita kwamba kulikuwa hamna wana CCM waliojindaa kuwazidi?? la hasha ni upepo wa kisuri suri umepita maana hata ingetokea katika hayo majimbo mtu amejindaa kwa miaka 10 bado asingeshinda na hata ingetokea mtu anayegombea nao ana hela kama MO pamoja na hela zake asingeshinda.
Siasa zaweza kuwa upepo Ila inabidi uwe na base flani ya kushikwa mkono Kuna watu wamepata kura sifuri tumeona rushwa nje nje, naamini waliohonga ndo wameshinda, vijana waliokuwa mikono mitupu hawajapita