Habari wakuu;
Nawakumbusha tu kwamba chama cha mapinduzi hakina nia ya dhati ya kushughulikia maridhiano ya kweli na nawakumbusha wadau na wenye nia njema kwamba hilo jambo kwao ni mwiba kitu ambacho hawawezi kukubali.
CCM wana silka ya kudanganya danganya watu miaka yote. Mfano mzuri ni zile ahadi walizo zitoa kwenye mikutano ya kampeni kwamba wataanza mchakato wa katika mpya ndani ya siku 100 toka kuapishwa.
Janja janja hiyo ndio msingi mkubwa wa kuwahadaa wananchi; sometimes kauli mbalimbali zinazotolewa na makada wao kwamba katibq si kipaaumbele cha wananchi.