CCM Ni waongo,habari ya maridhiano haipo,wanadanganya watu

Kwakivesa

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2016
Posts
344
Reaction score
504
Habari wakuu;

Nawakumbusha tu kwamba chama cha mapinduzi hakina nia ya dhati ya kushughulikia maridhiano ya kweli na nawakumbusha wadau na wenye nia njema kwamba hilo jambo kwao ni mwiba kitu ambacho hawawezi kukubali.

CCM wana silka ya kudanganya danganya watu miaka yote. Mfano mzuri ni zile ahadi walizo zitoa kwenye mikutano ya kampeni kwamba wataanza mchakato wa katika mpya ndani ya siku 100 toka kuapishwa.
Janja janja hiyo ndio msingi mkubwa wa kuwahadaa wananchi; sometimes kauli mbalimbali zinazotolewa na makada wao kwamba katibq si kipaaumbele cha wananchi.
 
Sure
 
Porojo useless kabisa hii gentleman 🐒
 
Maridhiano lazima awepo mtu watatu anayesimama katikati la sivyo hayo ni makubaliani ya kugawana vyeo, ukikaribia uchaguzi na kwenye uchaguzi hakuna maridhiano. Ila matokeo yakitangazwa ili kutowasumbua watawala yatatangazwa maridhiano mengine hapo watu walisha chukua viti vya kutosha mnapozwa na maridhiano. Wapinzani kwa utaratibu huo Kuna siku wafuasi wenu watashituka

je uchaguzi utarudiwa?
 
Wale ni madalali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…