PreGE2025 CCM Njombe yatoa wito kwa wananchi kujitayarisha na Uchaguzi: 'Ni Takwa la Kikatiba'

PreGE2025 CCM Njombe yatoa wito kwa wananchi kujitayarisha na Uchaguzi: 'Ni Takwa la Kikatiba'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Njombe kimetoa wito kwa wananchi mkoani humo kujiandaa na uchaguzi kwa kuwa ni takwa la kikatiba huku wakidai kuwa hakuna Chama chenye uwezo wa kuzuia takwa hilo.

Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Njombe Josaya Luoga amebainisha hayo wakati akizungumza na wananchi wilayani Makete ambapo amesema kama CHADEMA wameshindwa kujiandaa na uchaguzi haizuii vyama vingine kuendelea na mchakato huo.

 
Wasijihami.. No reforms no election imewatia kiwewe kikubwa
 
Back
Top Bottom