CCM pelekeni Mwenge Mozambique ukalete amani. Kama Mwenge ukishindwa kupeleka amani Msumbiji, upoteze uhalali wa kukimbizwa nchini

CCM waliifundisha Frelimo mbinu na njia chungunzima za kuiba kura na kuchezea uchaguzi, sasa Mozambique hailkaliki na hapalaliki, ni vita na machafuko kila sehemu.📌🔨
Yule Rais Msaafu anaitwa Philippe Nyusi Ndio alikuja kujifunza kwa Samia sasa kimewaka.
 
Tusiusingizie Mwenge kuwa ndio umetufanya Mazezeta huu Uzezeta wetu unaendana IQ zetu hafifu.
 
Mwenge upi? Kile kile kibatari kinachohamasisha uzinifu na ulevi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…