Pre GE2025 CCM pigeni marufuku pikipiki zilizosambazwa kwa Jina 'Samia 2025' kutumika kama 'bodaboda'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

MAMDALI

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2015
Posts
221
Reaction score
439
Viongozi wa CCM pigeni marufuku pikipiki za 'Samia 2025' kutumika kama 'bodaboda' Ila kama hawa viongozi wa huku kwenye mashina mmewapa ziwe za kwao basi tujue. Hali ikiendelea hivi 2025 zitafika zimechoka.

Ni hayo tu
 
Mitano tena ,project za mama kizimkazi hizo.
 
Viongozi wa CCM pigeni marufuku pikipiki za 'Samia 2025' kutumika kama 'bodaboda' Ila kama hawa viongozi wa huku kwenye mashina mmewapa ziwe za kwao basi tujue. Hali ikiendelea hivi 2025 zitafika zimechoka.

Ni hayo tu
Wanahela za wanyonge watasambaza tena mwakani.
 
mimi boda boda au bajaji yenye picha ya Samia siapandi, kama ilivyokuwa kwa Jiwe.
 
Viongozi wa CCM pigeni marufuku pikipiki za 'Samia 2025' kutumika kama 'bodaboda' Ila kama hawa viongozi wa huku kwenye mashina mmewapa ziwe za kwao basi tujue. Hali ikiendelea hivi 2025 zitafika zimechoka.

Ni hayo tu
Acha kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake
 
Huu ni wakati wa wanyonge nao kula vizuri hakika mtazitapika subirini😁
 
Viongozi wa CCM pigeni marufuku pikipiki za 'Samia 2025' kutumika kama 'bodaboda' Ila kama hawa viongozi wa huku kwenye mashina mmewapa ziwe za kwao basi tujue. Hali ikiendelea hivi 2025 zitafika zimechoka.

Ni hayo tu
Zitaletwa zingine
 
Watachota tena pesa BoT wataleta mpya
 
Viongozi wa CCM pigeni marufuku pikipiki za 'Samia 2025' kutumika kama 'bodaboda' Ila kama hawa viongozi wa huku kwenye mashina mmewapa ziwe za kwao basi tujue. Hali ikiendelea hivi 2025 zitafika zimechoka.

Ni hayo tu
PEsa za kukwapua zipo acha mawazo ya kimaskini sisi ni matajiri.
 
Back
Top Bottom