Si shangai sana haya maana CCM ni chama kilichopotea muda mrefu, chakushangaza ni wengi kutarajia mazuri toka CCM;
Naona wanaccm karibu wote wana matatizo ya akili. Haiwezekani watu wenye akili timamu wakubali utaratibu huo mbovu.
Ndio maana sishangai ccm wanapofanya mipango mikubwa ya kuuza raslimali zetu kwa bei che.
Nachukia sana