CCM sasa tuache kumdhalilisha Msigwa. Inatosha. Ameomba msamaha

CCM sasa tuache kumdhalilisha Msigwa. Inatosha. Ameomba msamaha

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Hakuwahi fanyiwa vitendo hiki huko chadema. Huku kwetu kiumri amezeeka kimatendo amerudi utotoni. Aibu sana.
Screenshot_2024-08-04-07-54-47-612_com.twitter.android~2.jpg
 
Malipo ni hapa hapa Duniani: Msigwa na Upendo Peneza damu za watu zinawanenea mabaya:Marehemu,Yatima, Wajane, Walemavu, Waliopoteza ajira, Wafungwa nk.Kwa ajili ya CHADEMA na wao ni wengi mno.Hawafiki popote tena Kisiasa wageukie shughuli zinginezo tu.Hata kwa sasa wanatembelea upepo wa vuguvugu la chaguzi zilizopo usoni tu.Baada ya hapo hamtawasikia milele.
 
Ila wamuonee huruma Kwani ana Familia na watoto, Kwenye issue hizo aandamane na mwanae
Hata wanae amewaathiri sana Kisaikolojia..na kumbuka wale watoto walikuwa na uwezo wakupanda jukwaani kuinadi CHADEMA na Baba yao, tena kuna kamoja ka KIKE kalikuwa kana shusha nondo mithili ya Baba.
 
Back
Top Bottom