CCM sasa tuache kumdhalilisha Msigwa. Inatosha. Ameomba msamaha

CCM sasa tuache kumdhalilisha Msigwa. Inatosha. Ameomba msamaha

Photoshop aliyeedit hii picha ni mchawi,huyo ni msigwa kweli,kama ni yeye hii ni dharau sana kwake na familia
 
Bado najiuliza pale tunapomuita Msigwa msaliti ilihali wapo watu kama EL na Sumaye hatuwaiti wasaliti.

Kutofautiana mawazo sio dhambi na usaliti sio kuhama chama tu bali hata kufanya matendo yanayorudisha nyuma harakati za ukombozi na kukatisha wengine tamaa.

Hakuna usaliti mkubwa uliofanywa kama Kwa CDM kumpokea EL na watu wake kutoka CCM na kuwapa nafasi za kugombea Uraisi na ubunge ilihali walikuwepo wanachama waliopambana usiku na mchana kukisimamisha chama na ideology zake.
 
Back
Top Bottom