NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 4,253
- 5,789
Habari za wakati huu ndugu zangu wanajamvi.
Bila kupepesa macho CCM kwasasa wanajificha kwenye udini ukihoji uhalali wa uchaguzi na mabadiliko kwenye tume ya uchaguzi,katiba mpya utaambiwa wewe unamchukia Samia kwasababu yeye ni muislam.
Hapa JamiiForums na kwenye mitandao mingine ya kijamii kuna watu wanajifanya wao ndio 'Gen Z' na kutoa maagizo/maombi ya kuhusu mada ya maandamano (D9).
Lengo ni kuwatisha na kuzuia maandamano hayo.
Nafikiri namna bora ya kuzuia maandamano ni kuchukua hatua za haraka juu ya mambo yanayolalamikiwa.
Ajenda ya amani ndio inabebwa na wana ccm wote lakini hawataki kusikia kuhusu haki na uwajibikaji.
Jamani hakuna marefu yasiyo na ncha!