CCM Shinyanga wammaliza Shibuda



Hayo si Shinyanga tu hiyo ni sera ya CCM. Ni nambari wani. Kama Shibuda hajaweka mbele CCM hawafai huyo, Shikh Yahya alisema atakufa atakaepingana na JK lakini hakufafanuwa kifo cha namna gani/ Pengine alikusudia kifo cha kisiasa ambacho Shibuda anaelekea kwayo.
 
wamwache shibuda agombee na yeye si haki yake jamani.Ila shinyanga jamani unafikiri ukitaka kumtawala mtu si unajifanya tu kama yeye hao waarabu wanaongea kisukuma tu ila hawana mapenzi ya dhati wengi wao wanafiki tu kina salumu mbuzi ndio kwanza sijui kaenda kujenga kiwanda arusha.kina phatom jamani na wengine wengi,ila jamani wabunge nao vibonde tu angallia shy town enzi za mfaume,makune ,derefa na sasa nani sijui shinyanga iko vilevile haiendelei inaendelea kurudi nyuma.
 
Zote hizi ni politics zao na hivyo inatupasa kuwa huru katika maamuzi yao na pia kufanya uchanguzi kuwa huru na haki kwa watu wote
 



Kumbe si mkabila tu bali pia nimdini. Suwala la dini linakujaje na kimbelembele cha Shibuda. Yeye ametaka kumjaribu Sheikh Yahya sawa wacha tuone naniataibuka mshindi.
 
Mimi nafikiri hapa issue ni Democracy..... Shibuda anatumia haki yake ya kuzaliwa ambayo inalindwa na katiba ya nchi. Sasa whether Mbonde ni mtu kutoka Jupiter au Mars iliyopo Tanzania sio issue, issue ni je ana-mandate ya wana ccm wote wa Shinyanga? hata kama anayo, still Shibuda is right. Kubalini tu kwamba watanzania wameanza kuacha nidhamu ya woga ... that's it.... pinganeni bila kupigana ...ndani ya chama cha siasa ruksaaaa.
 
Acha kuwapa watu label. kutofautiana isiwe sababu ya kuwaita watu majina mabaya. Hivi huyo shibuja huko kwao amefanya nini??? Au anangojea apate urais ndiyo aendeleze kwao????
 
it seems mfaume,makune na derefa walikuwa sio wanashinyanga.angalia ccm ilivyofanya Bob makani asichaguliwe.wenzet wa bariadi wana msimamo panga pangua
wakina mapesa ,ccm imeshindwa kabisa
 

.......................................................

Nashindwa kuelewa hawa viongozi kama Mbonde huwa wanasoma katiba ya chama chao au la. Sijaona mahala popote (I stand to be corrected) kwenye katiba ya CCM panaposema kuwa Rais atakaa madarakani miaka kumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…