Tetesi: CCM si wamoja, hamna siri. Kumbe kamati kuu yenu iligawanyika pakubwa kuhusu sakata la kufukuzwa Membe?

Halafu hii tsh 10,000/= wanaipenda sana ni ya mda mrefu sana, wenyewe wanakuwepo pale maeneo ya kupigia kura unavuta chako, ndio unaenda kupiga kura, na ten yako mfukoni.
 
Uzuri au ubaya wa CCM - hata hao wanaojidai eti walipinga Membe kufukuzwa, hawana balls za kutoka hadharani na kusema hilo wala hawana ubavu wa kumfuata Membe huko alipo. How come Magufuli walimpitisha kwa kura 100%?

Maisha yanaendelea. Na mtashangaa huyohuyo Membe anaomba kurudi alipotoka baada ya miaka michache tu. Siasa za Bongo zina wenyewe na it is just a matter of time
 
ZZK alifukuwa 2015 na mmoja wa walioshadadia afukuzwa ni Tundu.
2015, CDM walimwona ZZK kama msaliti. Leo 2020, Tundu amekwenda kwenye mkutano wa ACT ambao kiongozi wake mkuu ni ZZK na akawapongeza.

Tundu na wenzake CDM hawajawahi kutuambia ZZK ni msaliti kwa lipi (kwani tuhuma zake hazikuwa na mashiko.)
Je, ni lini kaacha kuwa msaliti mpaka wakaenda kwenye Mkutano Mkuu wa ACT??

JPM anajiuza kwa deliverables na tunahitaji kumwamini kwa next 5years.
Ila anahitaji kupata watu wenye IQ ya kufikiria namna rahisi ya Tanzania ya viwanda yenye kuzalisha ajira, yenye kukuza agro-processing and manufacturing ili kuongeza exports; angefika mbali sana kwa muda mfupi hasa kwa kutumia technology.
Rejea...
Rais atavunja Bunge la JMT mwezi Juni. Tuko wapi na tunafika lini nchi ya asali na maziwa?

Huu hapa chini ulikuwa ushauri wangu wakati watu wanayangaza nia kabla hata wajumbe hawajafanya yao
Ubunge wa CCM ni "FURSA ya Kutoka" kuwa Waziri, Kupata Ajira ya miaka 5 au mengine mengine
 
Ni hali ya kawaida kuwa na tofauti ya maono na msimamo. Maamuzi ya mwisho huwa ni ya juma hata kama hukutaka.
 
Uko sahihi ndg mdau. CCM wana unafiki mwingi sana. Kama wao wana demokrasia kama wanavyodai, mbona walicchapisha fomu moja tu ya uraisi? By they way nami siamini pia kwamba mzee baba anapendwa 100% na kila mwana CCM. Huku mtaani wanasikika sana wakilalamika kwamba kuna mambo hayaendi sawa. Lakini wakifika mkutanoni wanampa 100% ya kura.
 
Wanafiki kweli, wakitoka nje huku utadhani malaika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…