Kwa alivyomdhalilisha mzee Kinana Mie ndo nikichoka. Mtu aliyeishi kwa kuheshimiwa vizuri na Chama pamoja na maraisi 4( Marehemu Nyerere na Mkapa pamoja na Mwinyi na kikwete) alikuja kudhalilishwa vibaya sana Eti na magufuli mpaka mzee Eti akarekodiwa anaomba msamaha????😢Dah! mtu yoyote mwenye akili timamu hawezi kukubali huu ujinga. Magufuli ameleta madhara makubwa sana kwenye uhuru wa watu hapa nchini. CCM wanaugumia/wanaugulia maumivu kuliko hata wapinzani.
Ukiona hujaelewa hapo ndio umeanza kuelewa hivyo mkuu.Kwa mfano: Alichofanyiwa Stephen Masele, hakika Mimi sijaelewa!
Kura 152 dhidi ya 12!!! Sielewi bado!
Kwa mfano: Alichofanyiwa Stephen Masele, hakika Mimi sijaelewa!
Kura 152 dhidi ya 12!!! Sielewi bado!
Kwa kweli katika eneo hili hasa jimbo hili! Naona mauzauza! Huyu Masele alikuwa anafanya vizuri ktk Bunge la PanHalafu walikuwa wanahadaa umma eti kuwa uchaguzi wa ccm unafanyika kwa uwazi, huku kikao halisi cha maamuzi kinafanyika gizani! Wajinga ndio waliwao.
Aisee! Mkuu kwa kweli ni kama wajumbe walipoteza muda wao tu katika kura za maoni. Basi CC wangefanya wao tu kieleweke tu tangia mwanzoUkiona hujaelewa hapo ndio umeanza kuelewa hivyo mkuu.
Masele aliwahi kupinga upotoshaji wa Job Ndugai kule bungeni.Kwa mfano: Alichofanyiwa Stephen Masele, hakika Mimi sijaelewa!
Kura 152 dhidi ya 12!!! Sielewi bado!
Mjumbe hapo chini hilo vazi lake ni bora akaligeuze kua Pazia tu maana maoni yake wakuu wamegoma kuyaheshimu mkuu.Aisee! Mkuu kwa kweli ni kama wajumbe walipoteza muda wao tu katika kura za maoni. Basi CC wangefanya wao tu kieleweke tu tangia mwanzo
Hakukuwa na haja ya kura za maoni kwani Magufuli alikuwa na majina yake kwenye kwapaHalafu walikuwa wanahadaa umma eti kuwa uchaguzi wa ccm unafanyika kwa uwazi, huku kikao halisi cha maamuzi kinafanyika gizani! Wajinga ndio waliwao.
Katiba mpya itapunguza madaraka ya uteuzi maana kila kukicha ni uteuzi usiokwisha,Asante ndugu kwa hoja yako. Agenda yetu Watanzania sasa iwe ni utawala bora. Miundo mbinu tumepata, n.k. lakini kilichikosekana ni utawala wa sheria na kwa sababu tumempata mgombea mwanasheria wacha tumtwishe zigo ya kutengeneza katiba bora isiyochezewa chezewa.
Wajumbe wamebeba lawama kubwa mitaa kumbe Magufuli ana majina yake kwapaniAisee! Mkuu kwa kweli ni kama wajumbe walipoteza muda wao tu katika kura za maoni. Basi CC wangefanya wao tu kieleweke tu tangia mwanzo