Ha ha ha Nape akipata hii taarifa atamwaga tena chozi.Alitaka kumkata Nape baadhi ya wajumbe wa kamati kuu wakamtetea kwa nguvu kubwa ndipo akaghairi
Alitaka kumkata Nape baadhi ya wajumbe wa kamati kuu wakamtetea kwa nguvu kubwa ndipo akaghairi
Kwa Stephen Masele wamechemka sana.Kwa mfano: Alichofanyiwa Stephen Masele, hakika Mimi sijaelewa!
Kura 152 dhidi ya 12!!! Sielewi bado!
dah,Alitaka kumkata Nape baadhi ya wajumbe wa kamati kuu wakamtetea kwa nguvu kubwa ndipo akaghairi
Ccm taasisi kubwa kujuana na wajumbe haimanishi kwamba wewe unafaa kuongoza jimbo !mwenendo wa masele jimboni ulikuwa mbaya sana hasa utatuzi wa kero za wananchi kwa awamu zote aliona jimbo lipo mfukoni ! Intelijensia ya magufuli imemlarua vipandevipande na alimfanyia figisu kubwa mgombea mwenzie patrobas katambi! Malipo ni hapahapaKwa mfano: Alichofanyiwa Stephen Masele, hakika Mimi sijaelewa!
Kura 152 dhidi ya 12!!! Sielewi bado!
Na hii ndo nafasi adhimu tuliyopata watanzania mwaka huu ambapo hatupaswi kuichezea.Asante ndugu kwa hoja yako. Agenda yetu Watanzania sasa iwe ni utawala bora. Miundo mbinu tumepata, n.k. lakini kilichikosekana ni utawala wa sheria na kwa sababu tumempata mgombea mwanasheria wacha tumtwishe zigo ya kutengeneza katiba bora isiyochezewa chezewa.
Mwambie mwenyekiti wenu , kwa udhalimu aliouonesha wazi yafuatayo yanaenda kutokeaCcm taasisi kubwa kujuana na wajumbe haimanishi kwamba wewe unafaa kuongoza jimbo !mwenendo wa masele jimboni ulikuwa mbaya sana hasa utatuzi wa kero za wananchi kwa awamu zote aliona jimbo lipo mfukoni ! Intelijensia ya magufuli imemlarua vipandevipande na alimfanyia figisu kubwa mgombea mwenzie patrobas katambi! Malipo ni hapahapa
Masele alitunishiana msuli na supika, naona Ndugai alisema ni bora akatwe yeye kuliko Masele arudi mjengoni.. Basi, akashikishwa adabu!Kwa mfano: Alichofanyiwa Stephen Masele, hakika Mimi sijaelewa!
Kura 152 dhidi ya 12!!! Sielewi bado!
Mkuu, tulikuwa wagombea elfu kumi kwa viti mia mbili na ushee! Hata Malaika wangefanya kazi ya uteuzi, kwanza mimi nisingetoswa, pili malalamiko lazima yangekuwepo tu kwa kuwa kulingana na katiba, kila mgombea alistahili kuteuliwa.Dah! mtu yoyote mwenye akili timamu hawezi kukubali huu ujinga. Magufuli ameleta madhara makubwa sana kwenye uhuru wa watu hapa nchini. CCM wanaugumia/wanaugulia maumivu kuliko hata wapinzani.
Membe haa kweli. Tuwe wakweli hoja zetu .[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hivi hao waliokatwa ndio wale watu 6 aliosema Membe wanamuunga mkono?
Katambi anatetea chama kwa nguvu zote. Masele NO. Kazi kujimwambafai tu.Kupitishwa jina wanaangalia mchango wako kwenye chama unakuta mbunge hawezi hata kutetea chama kinaposhambuliwa na wapinzani yupo tu hakuna aliyeonewa hapo.
Hata Mimi nipo shy hapa tunashangaa kumbe ka katambi ni katumishi ka idara yetu ile,iiiiii bhagoshaaaKwa mfano: Alichofanyiwa Stephen Masele, hakika Mimi sijaelewa!
Kura 152 dhidi ya 12!!! Sielewi bado!
Akili za uvccm bana yaan badala ya kutetea wananchi unatetea chama Basi bunge lijalo litakua la ovyo Sana tutegemee wa kina kibajaji,msukuma ,kessy kuwa wehu zaidiKupitishwa jina wanaangalia mchango wako kwenye chama unakuta mbunge hawezi hata kutetea chama kinaposhambuliwa na wapinzani yupo tu hakuna aliyeonewa hapo.
Huu ndio ukweli.kumbuka spike ni mjumbe wa kamati kuu.Masele alitunishiana msuli na supika, naona Ndugai alisema ni bora akatwe yeye kuliko Masele arudi mjengoni.. Basi, akashikishwa adabu!