CCM, siasa za visasi hazifai kamwe

Naomba unisaidie huyu lissu akitokea akashinda atatangazwa kuwa mshindi kwa katiba ipi?

Ndiyo maana mnaitwa nyumbu.

2015 kwenye press conference baada ya jpm kutangazwa mbowe alitamka hivi, *tùmegungua kwamba kwa katiba hii sasa upinzani hautaweza kuingia ikulu hata kama ni baada ya miaka 100*

Sasa sijui kama miaka 100 imeishafika....
 
Damu kumwagika??? Usijaribu hata kuwaza
 
Basi chama kina wenyewe!!!
 
Labda unisaidie wewe kwani Magufuli alitangazwa kwa katiba ipi???? Katiba iyo iyo iliyomtangaza Magufuli ndo itakayomtangaza Lissu.

Una lingine???
 
Amalinze' wa Bariadi amenisikitisha (au kwa kizungu 'AMENISATYA') sana bajameni!
😅
👊 ✌✌✌💥
 
Kwa mfano: Alichofanyiwa Stephen Masele, hakika Mimi sijaelewa!

Kura 152 dhidi ya 12!!! Sielewi bado!
Kumbuka: Adadi alilaani sana bungeni Tundu Lissu alipopigwa risasi
Yule aliyeponda sana warembeo wa ATC kwa kudai yeye ni mzuri kuliko wao 🤣
 
Nami naona hivyo
Dah! mtu yoyote mwenye akili timamu hawezi kukubali huu ujinga. Magufuli ameleta madhara makubwa sana kwenye uhuru wa watu hapa nchini. CCM wanaugumia/wanaugulia maumivu kuliko hata wapinzani.
 
Silinde hawezi kushinda Tunduma hata akichukua waganga wote wa nchi hii
 
Silinde hawezi kushinda Tunduma hata akichukua waganga wote wa nchi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…