The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Ukiwa mtu mzima na Mwenye akili timamu lazima utagundua Hilo.
Siasa za CCM Kwa asilimia kubwa ni danganya Toto, wanafanya kazi Kwa matukio na propaganda.
Yaani mpaka waamshwe ndo uone wamechachamaa. Lakini Hata wakichachamaa agenda Zao zimejaa utoto na uongo mwingi.
Ukiwa na akili timamu na kama siyo nchumia tumbo hawa jamáa wanakasirisha kweli utagundua CCM hawapo kufanyia kazi matatizo ya msingi ya taifa hili.
Wanakula nchi kimya kimya. Ila ikitokea mwenye akili kawarushia jiwe wanaanza kubweka ha ha ha kama mbwa ili waachwe waeendelee Kula.
Hakuna taifa lililoendelea Kwa viongozi wake kutowajibika na kuwatumikia wananchi barabara. Mnachokifanya mnaona kila mtu ni kuku au mbuzi .
By the way CCM mda utongea mara zote njia ya mwongo ni fupi, uongo na ukweli havikai nyumba moja..
SAMIA OUT 2025