Naantombe Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,253
- 15,748
Kama yule Polepole ni janga kabisa, walimu wake walikuwa wanapata shida sanaSifa mojawapo ya kuwa ccm ni lazima uwe na upoyoyo fulani...China ya sasa Inafahamu umuhimu wa lugha hasa kiingereza ndio maana imefanikiwa kukaa kwenye ramani ya dunia kiuchumi
wapumzike kabisaCCM imechokwa, ipigwe benchi ijitafakari kwanza.
Kwahiyo Polepole aliyekuwa anapingana na hoja Murua za Lissu naye ni mpinzani? maana ndo nimemsema leo😀😀😀
Unawasema wapinzani.. ila mudomo kukuwasha lazima ukumbuke chama bombaaaa.. Rais Jembe.. ukuongelee CCM
Magufuli 2020💯
Itakuwa aisee maana kila mtu akijiunga na CCM lazima ajitoe akili kwanza.. Muangalie Prof Kabudi, yaani anaaibisha mpaka uprofesa wenyeweUbongo wote unautoa ndo unapewa kadi ya uanachama
Nilienda Poland nikashangaa jinsi Wa'polish' wanavyochangamkia fursa za ajira Jumuiya ya Ulaya: wale niliokutana nao kati yao walikuwa wanajua lugha tano Polish, Russian, English, French na German. Walinifanya na mimi nianze kupenda kujifunza lugha zaidi ya zile ninazozifahamu.Sifa mojawapo ya kuwa ccm ni lazima uwe na upoyoyo fulani...China ya sasa Inafahamu umuhimu wa lugha hasa kiingereza ndio maana imefanikiwa kukaa kwenye ramani ya dunia kiuchumi
Kama mtu hajapata nafasi ya kusafiri na kuiona dunia ilivyo hawezi kuelewa dhana ya kujua lugha zaidi ya mojaNilienda Poland nikashangaa jinsi Wa'polish' wanavyochangamkia fursa za ajira Jumuiya ya Ulaya: wale niliokutana nao kati yao walikuwa wanajua lugha tano Polish, Russian, English, French na German. Walinifanya na mimi nianze kupenda kujifunza lugha zaidi ya zile ninazozifahamu.
Hawakutumia fimbo kurekebisha kichwa yake bali walitumia nyundoKama yule Polepole ni janga kabisa, walimu wake walikuwa wanapata shida sana
Chagu. Nyerere wakati anastaafu aliainisha mambo waliofanya vizuri na yale yaliowaendea kombo. Alisema kweli Kiswahili kimefanikiwa kuwaunganisha wananchi kama taifa. Lakini alitoa Rai kuwa watu wakazanie English kwa sababu ni KISWAHILI cha dunia .Kwa hiyo unataka kusema Tanzania haina sera ya lugha? Unataka kusema majaji na watanzania hawajui kiingereza kiasi kwamba wakiongea Lissu inabidi ajifiche uvunguni?
Jaduong usikariri maneno ya wanasiasa waongo. Nenda Botswana wamejaa watanzania wanafanya kazi za maana. Nenda Usa kuna maelfu ya watanzania wanafundisha huko. Kwa hiyo tusipotoshe watu Tanzania inatumia Swahili na English lakini kuwatukana watanzania hawajui English ni makosa. Kwani English ni mother language yetu? Mbona wajeruman wanaishi bila hiyo English?Chagu. Nyerere wakati anastaafu aliainisha mambo waliofanya vizuri na yale yaliowaendea kombo. Alisema kweli Kiswahili kimefanikiwa kuwaunganisha wananchi kama taifa. Lakini alitoa Rai kuwa watu wakazanie English kwa sababu ni KISWAHILI cha dunia .
Leo hii mtz , nje ya mipaka yetu ni bubu.