Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Salaam wana jamvi,
Nimesoma maazimio ya kikao cha NEC ya Chama cha Mapinduzi, yameniacha na maswali bila majibu.
Kuna wengi hawajui kuhusu CCM, wanadhani CCM ni chama tuu cha siasa,kama vyama vingine,ukweli ni kuwa, CCM sio tu ni chama cha siasa, kama vyama vingine, CCM ni chama tawala kinachotawala Dola, hivyo CCM ni chama dola, CCM ni Dola!.
Sio wengi wanafahamu kuwa ile katiba ya CCM ilipozaliwa ile Februari 5, 1977,katiba ya CCM,ndio ndio hii katiba ya JMT ya mwaka 1977,enzi hizo za chama kimoja,CCM ndio ilikuwa supremacy kuongoza Dola,hivyo CCM kwa chama kushika hatamu.
Tulipoingia mfumo wa vyama vingi,tulifanya Mabadiliko ya katiba cosmetics tuu kwa kubadili maneno tuu ku replace neno chama kimoja,into vyama vingi,lakini katiba ni ile ile ya chama kimoja,CCM bado ni chama dola ni dola!
Mwenyekiti wa CCM ndie rais wa nchi,mkuu wa serikali na Amiri Jeshi Mkuu!。There is no any dividing line between Mwenyekiti wa CCM , mkuu wa nchi,mkuu wa serikali,na CinC,is the one and the same person!.
Hivyo CCM sio tuu ni chama tawala, bali pia ni chama dola, ni dola !.
Hivi kweli CCM kama chama kina uwezo wa kumhoji spika wa the legislature jinsi anavyoliendesha Bunge?!
CCM kimeunda kamati ya wenye busara kufuatilia uendeshaji wa Bunge!.
Madudu yote ya the executive CCM haijayaona wala kuyahoji kwa vile mkuu wa the executive ni mwenyekiti wa CCM hivyo CCM ni executive party kinachodhibiti Bunge na kudhibiti judiciary kunafuatia!
Je, tunarudi tena kwenye party supremacy?
CCM na Bunge nani zaidi?...ni
CCM!.
Naomba kuwasisha.
Pasco