mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,072
- 12,119
Dah...Maslahi ya CCM ndio maslahi ya taifa!.
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah...Maslahi ya CCM ndio maslahi ya taifa!.
P
Unakosea kwa hii statement. Maslahi ya Taifa ni mapana zaidi.Maslahi ya CCM ndio maslahi ya taifa!.
P
CCM sio ni chama dola, CCM ni dola!, dola ni nchi hivyo CCM ni nchi .Unakosea kwa hii statement. Maslahi ya Taifa ni mapana zaidi.
Yanajumuisha vyama vyote, wasio na vyama na mustakabali wa nchi miaka 20, 50, 100 ijao.
Wengi tu Watanzania hawana vyama, wako upinzani, watoto, wazee, walemavu nk.
CCM sio ni chama dola, CCM ni dola!, dola ni nchi hivyo CCM ni nchi .
P
Muda utaongea bado kidogo.Salaam wana jamvi,
Nimesoma maazimio ya kikao cha NEC ya Chama cha Mapinduzi, yameniacha na maswali bila majibu.
Kuna uwezekano kuwa CCM sio tuu ni chama tawala, bali pia ni chama dola?
Hivi kweli CCM kama chama kina uwezo wa kuhoji spika wa legistlature jinsi anavyoliendesha bunge?
Kimeunda kamati ya wenye busara kufuatilia uendeshaji wa bunge!.
Madudu yote ya the executive CCM haijayaona wala kuyahoji kwa vile mkuu wa executive ni mwenyekiti wa CCM hivyo CCM ni excutive party kinachodhibiti bunge na kudhibiti judciary kunafuatia!
Je, tunarudi tena kwenye party supremacy?
Swali ni je, CCM ni chama Dola?
CCM na Bunge nani zaidi?.
Naomba kuwasisha.
Pasco
kwa vile mkuu wa executive ni mwenyekiti wa CCM hivyo CCM ni excutive party kinachodhibiti bunge
Swali ni je, CCM ni chama Dola?
CCM na Bunge nani zaidi?.
Naomba kuwasisha.
Pasco
Mkuu MAKULUGA , karibu pande hizi, nimejibu hoja zako kule, zikanigomea, kwa naunga mkono hoja.Kutokana nahali hii Waraka wa Kanisa Katoliki unakwenda kiwafikia Watanzania wengi zaidi ambao hawakupata fursa ya kuusikia aidha kutoka CCM,Chadema,au kupitia Waaharakati.Na Kumbuka Wakatoliki ni Wahafidhina ambao kupingana na maamuzi ya Kanisa lao ni ngumu sana!.
Sii kweli kwasababu kufikia 2025, hali ya uchumi itakuwa fit, matunda ya DPW na Bandari zetu tutakuwa tumeanza kuvunja, hivyo CCM itaendelea kupeta.Hapo ndipo CCM inapoenda kumomonyoka miongoni mwa wafuasi wake.Hali hii itachagizwa na hali mbaya ya Uchumi iliyopo mitaani katika kipindi hiki!
Mtaji huu bado anao na anakwenda nao hadi 2025.Huu ni ukweli mchungu sana Kwa Rais Samia amabaye alipata uungwaji mkono mkubwa na kundi ambalo halikumkubali Rais Magufuli,na Kwa hakika huu ulikuwa ni Mtaji mkubwa sana kwake
Sii kweli, kwasababu ili CCM kushinda uchaguzi, haihitaji mtaji mkubwa kivile!, CCM tayari inao mtaji wake mkubwa ni watu, hata Wakatoliki wote wa nchi hii wakiamua kuikataa CCM, bado Watanzania wengine wote wataichagua CCM kwa sababu mbili.ila bahati mbaya umepotea! Na atalazimika kutumia gharama kubwa kuurejesha..Athari hizi ni mbaya zaidi Kwa CCM .
Hii nchi imekuwa ya "Kiswahili Swahili" sana, yaani watu hawako makini na mambo makubwa ya nchi. ndiyo hiyo "uswahili". Umeongea "chama tawala" baadaye ukasema "chama cha Dola". Sasa "Dola" ni nini na "Chama tawala" ni nini? Kwanza miaka hiyo kwenye kamusi nasoma shule ya msingi Dola ilikuwa ni Empire, na mtu aliyekuja na hili neno "dola" alikuwa Mwinyi, hapo nwa "uswahili Swahili" sasa tunachanaganyanaa Kiswahili kama haatuna wataalaamu wa lugha ya kiswahili.Salaam wana jamvi,
Nimesoma maazimio ya kikao cha NEC ya Chama cha Mapinduzi, yameniacha na maswali bila majibu.
Kuna uwezekano kuwa CCM sio tuu ni chama tawala, bali pia ni chama dola?
Hivi kweli CCM kama chama kina uwezo wa kuhoji spika wa legistlature jinsi anavyoliendesha bunge?
Kimeunda kamati ya wenye busara kufuatilia uendeshaji wa bunge!.
Madudu yote ya the executive CCM haijayaona wala kuyahoji kwa vile mkuu wa executive ni mwenyekiti wa CCM hivyo CCM ni excutive party kinachodhibiti bunge na kudhibiti judciary kunafuatia!
Je, tunarudi tena kwenye party supremacy?
Swali ni je, CCM ni chama Dola?
CCM na Bunge nani zaidi?.
Naomba kuwasisha.
Pasco
Nakuunga mkono, ndio maana hata hili la DPW na Bandari zetu nilisema Watanzania ni Watu wa ajabu. Wanapigiaje kelele jambo dogo la Bandari, lakini Mambo Muhimu ya Msingi kama Katiba na Uhuru wao wapo Kimya?Hii nchi imekuwa ya "Kiswahili Swahili" sana, yaani watu hawako makini na mambo makubwa ya nchi.
Hapa najua ulitaka kusema kuwa CCM ni chama tawala kama chama tawala kingine chochote, hivyo chama kingine kinaweza kutawala na kuwa chama tawala, ila kama hiko chama tawala ni chama dola, jicho chama kingine kinaanzia wapi hadi kije kishike dola wakati hiyo dola ndio CCM?.Haya yote unayouliza hapo ni kuchanganyana tu, CCM ni chama Tawala kama vile vile kama chama knignine kinaweza kuja kutawala kikawa chama Tawala,
Call it what you may, nilichofanya mimi ni kukuwekea facts tuu!.hamna supremacy yoyote ile, labda uongeze tu kuwa CCM ni kama genge la mafia
Mkuu Isanga family , karibu pande hizi, hivi ndio vitu ambavyo Chama kinapenda viandikwe?.Wewe Mzee unaandika vitu ambavyo Chama tawala wanapenda...