GE2025 CCM: Taarifa kwa Umma Juu ya Uteuzi wa Wagombea Ubunge

GE2025 CCM: Taarifa kwa Umma Juu ya Uteuzi wa Wagombea Ubunge

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Hii ni Taarifa kwa Umma kutoka kwa chama kiongozi Barani Afrika yaani CCM,chama chenye kubeba matumaini ya watanzania na chenye uchungu na Maisha ya watanzania.

Chama chenye kujali maisha ya watu, chama chenye kuguswa na shida za watu ,chama chenye ajenda na sera zinazogusa Maisha ya watu, chama chenye uwezo wa kuongoza Taifa letu,chama chenye uthubutu ,Dira na muelekeo wa kueleweka, chama chenye Usikivu kwa watu, chama chenye kujishughulisha na shida za watu.

Chama chenye viongozi wachapakazi, waadilifu, wazalendo,imara, shupavu, madhubuti,hodari na wenye Maono. Chama chenye viongozi wenye ujasiri na ushupavu wa kiuongozi,chama chenye viongozi safi ,wenye huruma ,upendo ,unyenyekevu na ukarimu kwa watu.
IMG-20250817-WA0104.jpg


Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Back
Top Bottom