CCM tangu ianze kutumia Machawa 2010 Ushindi kwenye uchaguzi umekuwa ukipatikana Kwa taabu Sana, kwanini?!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Chaguzi za 1995, 2000 na 2005 Machawa yalikuwa bado hayajaasisiwa na alitegemewa zaidi Captain John Komba na TOT kiukweli tulikuwa tunashinda kiwepesi na KURA tulihesabu hadharani bila hofu

Lakini tangu Chawa wateke kampeni za CCM kiukweli uchaguzi tunashinda kiugumu sana na Kwa ung'ang'anizi

Kwanini lakini?

Nimekaa pale 🐼
 
Taifa linakua....

Sensa ya 2012 tulikuwa milioni 45.....

Wengi waitwao machawa wamezaliwa miaka ya 2000....ni kizazi kipya chenye MIONDOKO MIPYA.....

Binafsi nikiwa kijana mdogo nimemfanyia kampeni ya udiwani Mikocheni mh.Yusuf Juma Mwenda nikiwa "chawa" wa moto haswaa.....

#Samia na kura za "AVALANCHE" 2025!
 
Back
Top Bottom