CCM tawi la Michungwani limetenga sh 1,200,000 kwa ajili ya kumchukulia BERNARD C. MEMBER fomu

Brightg

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
372
Reaction score
662
CCM Tawi la Michungwani tumetenga sh 1,200,000 kwa ajili ya kumchukulia Bernard Camelius Membe fomu kwenye uchaguzi mkuu, Mil 1 ikiwa ni ya kuchukulia fomu na laki 2 kwa ajili ya kuweka mafuta kwenye gari lake kwenda kuchukua fomu. - Abuu, Katibu
 
Kwahiyo Membe akapambane na nani?
Mwenyekiti wenu, !au unadhani mpaka kwenye mchakato wa uchaguzi atakuwa na nguvu ya urais.??

Ni huruma tu ya wazee wa jikoni ila CCM ikipania inamtoa itashinikiza wakuu walio ndani ya system kuondoa hili tatizo kwa maslai ya amani iliyoasisiwa na JK Nyerere.

Kwahiyo huyo atakayepambana na Membe itategemea ameyatenda yepi mema kuifurahisha CCM kama chama na sio CCM kama wafia tumbo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Demokrasia Afrika ni ngumu mno. Na jiwe hili madarakani!?

Mzindakaya alikuja kipindi Cha 'kunywa kahawa Ikulu" bado alitaabika

Kila la kheri tawi la
Michungwani hapa 'Jamii Forums'
 
Mwenyekiti wenu, !au unadhani mpaka kwenye mchakato wa uchaguzi atakuwa na nguvu ya urais.??

Ni huruma tu ya wazee wa jikoni ila CCM ikipania inamtoa itashinikiza wakuu walio ndani ya system kuondoa hili tatizo kwa maslai ya amani iliyoasisiwa na JK Nyerere.

Kwahiyo huyo atakayepambana na Membe itategemea ameyatenda yepi mema kuifurahisha CCM kama chama na sio CCM kama wafia tumbo.

Sent using Jamii Forums mobile app
mtulie tu maana hizi porojo zitasahaulika muda si mrefu. Jamaa anamaliza mitano mingine. Tuombe afya tushuhudie haya yakitimia.
 
Mwenyekiti wenu, !au unadhani mpaka kwenye mchakato wa uchaguzi atakuwa na nguvu ya urais.??

Ni huruma tu ya wazee wa jikoni ila CCM ikipania inamtoa itashinikiza wakuu walio ndani ya system kuondoa hili tatizo kwa maslai ya amani iliyoasisiwa na JK Nyerere.

Kwahiyo huyo atakayepambana na Membe itategemea ameyatenda yepi mema kuifurahisha CCM kama chama na sio CCM kama wafia tumbo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonekana umeshiba magimbi, viazi na mihogo iliyochemshwa bila kumenywa! Kwasasa CCM ni Magufuli. No Magufuli no CCM mpaka miaka mingine 5 iishe! Membe inabidi akanyenyekee kwa jiwe (labda) ikimpendeza anaweza kumwachia Ikulu, vinginevyo Membe atasubiri saaana
 
Sasa hivi limeitishwa faili kulitafuta Tawi la la CCM,Michungwani lipo wapi ,ili Mwenyekiti na Katibu wake afundishwe maana ya Chama kushika Utamu! Hahahaaaa .Tawi la Michungwani!
 
Membe ibabidi akubali tu kama alivyo nyoosha mikono hasimu wake Lowasa,hata jua lianze kuchomoza toka kasikazini kwenda kusini membe hatakuwa rais wa JMT
Inaonekana umeshiba magimbi, viazi na mihogo iliyochemshwa bila kumenywa! Kwasasa CCM ni Magufuli. No Magufuli no CCM mpaka miaka mingine 5 iishe! Membe inabidi akanyenyekee kwa jiwe (labda) ikimpendeza anaweza kumwachia Ikulu, vinginevyo Membe atasubiri saaana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonekana umeshiba magimbi, viazi na mihogo iliyochemshwa bila kumenywa! Kwasasa CCM ni Magufuli. No Magufuli no CCM mpaka miaka mingine 5 iishe! Membe inabidi akanyenyekee kwa jiwe (labda) ikimpendeza anaweza kumwachia Ikulu, vinginevyo Membe atasubiri saaana
Hadi atakapoamua mwenyewe na sio 5 ijayo huyu atoki leo wala kesho
 
Back
Top Bottom