johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Huyu mama alitokea Bawacha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni mwanachukua chako mapema(ccm)Jo. 🏃Huyu mama alitokea Bawacha!
Usione vyaelea vimeumbwa , tukisema tufunguke kuhusu huyu mama , taa zitazimwaMwenyekiti wa CCM wilaya ya Temeke bi Almish HassalView attachment 2116092
Ama kichwa kizuri,amejifunza haraka kuibaHuyu mama alitokea Bawacha!
Mwenyekiti wao kawaruhusu kila mtu kula kwa urefu wa kamba yakeMiccm yote ni mijizi tu
Huyu kala kilometers ngapi dah!!Mwenyekiti wao kawaruhusu kila mtu kula kwa urefu wa kamba yake
Naww ukipata chans piga kwa urefu wa kamba yako tamko limetoka juu.Samia amewaruhusu..
Taarifa zinazojiri mtandaoni sasa ni tuhuma za ubadhirifu uliofanywa na Mweyekiti wa CCM Wilaya ya Temeke bibie Almishi Hassal, ambaye anatuhumiwa kuunda vikundi hewa vya wanawake na vijana kisha kufanikisha uchotwaji wa zaidi ya Tshs milioni 300 za Halmashauri ya Temeke zilizopaswa kukopeshwa Wanawake, Vijana na Walemavu.
Taarifa zaidi zinaeleza kuwa, Almish anatumia madaraka yake kuwatishia watendaji wa Halmashauri wanaofuatilia marejesho kutoka kwa vikundi hivyo hewa.
Sambamba na taarifa hizo, huyu Mwenyekiti wa Wilaya pia alisimama kidete kumtetea yule Mwenyekiti wa Mtaa wa moja ya Mitaa ya Kata ya Toangoma aliyetuhumiwa wizi wa Tshs milion 12 ambapo hadi leo kesi ipo mahakama ya Temeke ikipigwa danadana ili kumlinda mwenyekiti yule mwizi.
Pia hata wananchi wa mtaa ule walipopeleka pendekezo na saini zao kumkataa Mwenyekiti wa Mtaa kwa sababu ana tuhuma zingine za wizi wa milion zaidi ya 20 za wananchi alitumia madaraka yake kuzuia Wilaya kutimiza wajibu wake kwa wananchi hao.

Chanzo.
DarMpya BlogView attachment 2116089
Bibie, kama ni kweli, rudisha haraka fedha unazodaiwa.Taarifa zinazojiri mtandaoni sasa ni tuhuma za ubadhirifu uliofanywa na Mweyekiti wa CCM Wilaya ya Temeke bibie Almishi Hassal, ambaye anatuhumiwa kuunda vikundi hewa vya wanawake na vijana kisha kufanikisha uchotwaji wa zaidi ya Tshs milioni 300 za Halmashauri ya Temeke zilizopaswa kukopeshwa Wanawake, Vijana na Walemavu.
Taarifa zaidi zinaeleza kuwa, Almish anatumia madaraka yake kuwatishia watendaji wa Halmashauri wanaofuatilia marejesho kutoka kwa vikundi hivyo hewa.
Sambamba na taarifa hizo, huyu Mwenyekiti wa Wilaya pia alisimama kidete kumtetea yule Mwenyekiti wa Mtaa wa moja ya Mitaa ya Kata ya Toangoma aliyetuhumiwa wizi wa Tshs milion 12 ambapo hadi leo kesi ipo mahakama ya Temeke ikipigwa danadana ili kumlinda mwenyekiti yule mwizi.
Pia hata wananchi wa mtaa ule walipopeleka pendekezo na saini zao kumkataa Mwenyekiti wa Mtaa kwa sababu ana tuhuma zingine za wizi wa milion zaidi ya 20 za wananchi alitumia madaraka yake kuzuia Wilaya kutimiza wajibu wake kwa wananchi hao.
Chanzo.
DarMpya BlogView attachment 2116089
Nadhani huu uchunguzi wa kuwabaini hawa ungefanyika nchi nzima kata kwa kata, mtaa kwa mtaa. Viongozi wengi wanaishi kama mchwa mnakula kweli kweli. Kupata mkopo wa vikundi ni kero unazungushwa kweli. Mara mnaambiwa mwandike Katiba, mkiandika na kuleta inakataliwa baadae mnauziwa na wao hao hao CCM kata Tshs 30000/= mpaka 50000/= . Ili ipitishwe na afisa maendeleo. Huu ni wizi mkubwa kwa vikundi vya watu masikiniTaarifa zinazojiri mtandaoni sasa ni tuhuma za ubadhirifu uliofanywa na Mweyekiti wa CCM Wilaya ya Temeke bibie Almishi Hassal, ambaye anatuhumiwa kuunda vikundi hewa vya wanawake na vijana kisha kufanikisha uchotwaji wa zaidi ya Tshs milioni 300 za Halmashauri ya Temeke zilizopaswa kukopeshwa Wanawake, Vijana na Walemavu.
Taarifa zaidi zinaeleza kuwa, Almish anatumia madaraka yake kuwatishia watendaji wa Halmashauri wanaofuatilia marejesho kutoka kwa vikundi hivyo hewa.
Sambamba na taarifa hizo, huyu Mwenyekiti wa Wilaya pia alisimama kidete kumtetea yule Mwenyekiti wa Mtaa wa moja ya Mitaa ya Kata ya Toangoma aliyetuhumiwa wizi wa Tshs milion 12 ambapo hadi leo kesi ipo mahakama ya Temeke ikipigwa danadana ili kumlinda mwenyekiti yule mwizi.
Pia hata wananchi wa mtaa ule walipopeleka pendekezo na saini zao kumkataa Mwenyekiti wa Mtaa kwa sababu ana tuhuma zingine za wizi wa milion zaidi ya 20 za wananchi alitumia madaraka yake kuzuia Wilaya kutimiza wajibu wake kwa wananchi hao.
Chanzo.
DarMpya BlogView attachment 2116089
Ficha upumbavu wako wewe....Hahusiki kukagua vikundi, kama vikundi hewa, maafisa manispaa ndio wanaovihakiki,CCM haisajili vikundi