Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
sasa kama chama kimeshindwa kutoa mlo wa mchana tuh kwa mawakala wao kwa siku kumi ndani ya awamu moja ya miaka mitano hapo kuna watu wenye akili timamu kweliUtawapimaje akili wakati wewe mwenyewe huna akili zote umemkabidhi Makalla umebakishiwa za kuvukia barabara na kwendea chooni tu.
Labda upande wa ZanzibarNadhani ACT Wazalendo watashika Namba 2
November siyo mbali πUmeshameza dawa zako tayari?
Sawa tutaona tuombe uzimaNovember siyo mbali π
Kwahiyo Bara Chadema mtatetea nafasi yenu? ππLabda upande wa Zanzibar
Kwa hii katiba ya kishetani ni ngumu CHADEMA kushinda dolaKwahiyo Bara Chadema mtatetea nafasi yenu? ππ
Bilion 2 wazitoe Wapi? πππCHADEMA waachane na mambo mengine wawekeze zaidi ya bilioni 2 za uchaguzi
Wana ruzuku, michango ya wanachama + vyama rafiki nje ya nchi hawashindwi kuwasupport, hata matajiri huwa wanasupport sn CHADEMA bila kujitangazaBilion 2 wazitoe Wapi? πππ
Chopa ya kumpelekea Tundu Lisu Nairobi hospital mlisaidiwa na Mbunge wa CCM wakati mnapata ruzuku ya tsh million 320 kila mwezi πππWana ruzuku, michango ya wanachama + vyama rafiki nje ya nchi hawashindwi kuwasupport, hata matajiri huwa wanasupport sn CHADEMA bila kujitangaza
Alitibiwa kwa pesa za nani? Boni yai anaweza kulipa mawakala Ubungo yote, acha utaniChopa ya kumpelekea Tundu Lisu Nairobi hospital mlisaidiwa na Mbunge wa CCM wakati mnapata ruzuku ya tsh million 320 kila mwezi πππ
Kwani huyu Mungu ni wa kwao peke yao?Ni ushauri tu Kwa wale mlioko Kwenye nafasi za uteuzi
Msiendekeze undugu na urafiki
Mtanishukuru baada ya Uchaguzi
Nawatakia Dominica Njema π
Awazavyo Mungu wa mbinguni sivyo tuwazavyo sisi πKwani huyu Mungu ni wa kwao peke yao?
na kwanini awahurumie kiasi hicho?, kwani walitenda dhambi gani kubwa na mbaya kiasi cha kuhurumiwa na kuombewa huruma ya Mungu hivyo?π
Wanajitolea,au umesikia wanalalamika?sasa kama chama kimeshindwa kutoa mlo wa mchana tuh kwa mawakala wao kwa siku kumi ndani ya awamu moja ya miaka mitano hapo kuna watu wenye akili timamu kweli
Alitukopesha na tulimlipa.Chopa ya kumpelekea Tundu Lisu Nairobi hospital mlisaidiwa na Mbunge wa CCM wakati mnapata ruzuku ya tsh million 320 kila mwezi πππ
Aimen πΉAwazavyo Mungu wa mbinguni sivyo tuwazavyo sisi π
Kungekuwa na chaguzi za kweli, ccm wangehangaika kutafuta watu sahihi. Lakini kwa huu uchaguzi unaoamuliwa na wahesabu kura wana hofu ya nini?Ni ushauri tu Kwa wale mlioko Kwenye nafasi za uteuzi
Msiendekeze undugu na urafiki
Mtanishukuru baada ya Uchaguzi
Nawatakia Dominica Njema π
Watanzania wapi unawaongelea, wakati huko kwenye vituo vya kujiandikisha kupiga kura mahudhurio ni aibu?namna hiyo wanategemea dola washike, mawazo yao wanafikiri watanzania ni wajinga wasio weza kutizama mfumo wao wa kujisimamia na kuwapima
Namkumbuka 2014 Kawe tulipata tabu sana πKungekuwa na chaguzi za kweli, ccm wangehangaika kutafuta watu sahihi. Lakini kwa huu uchaguzi unaoamuliwa na wahesabu kura wana hofu ya nini?