LGE2024 CCM teueni vizuri Wagombea wa uchaguzi wa Serikali za mitaa tusiwadharau sana CHADEMA kwani wanatembelea huruma ya Mungu!

LGE2024 CCM teueni vizuri Wagombea wa uchaguzi wa Serikali za mitaa tusiwadharau sana CHADEMA kwani wanatembelea huruma ya Mungu!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Utawapimaje akili wakati wewe mwenyewe huna akili zote umemkabidhi Makalla umebakishiwa za kuvukia barabara na kwendea chooni tu.
sasa kama chama kimeshindwa kutoa mlo wa mchana tuh kwa mawakala wao kwa siku kumi ndani ya awamu moja ya miaka mitano hapo kuna watu wenye akili timamu kweli
 
Ni ushauri tu Kwa wale mlioko Kwenye nafasi za uteuzi

Msiendekeze undugu na urafiki

Mtanishukuru baada ya Uchaguzi

Nawatakia Dominica Njema 😄
Kwani huyu Mungu ni wa kwao peke yao?

na kwanini awahurumie kiasi hicho?, kwani walitenda dhambi gani kubwa na mbaya kiasi cha kuhurumiwa na kuombewa huruma ya Mungu hivyo?🐒
 
Kwani huyu Mungu ni wa kwao peke yao?

na kwanini awahurumie kiasi hicho?, kwani walitenda dhambi gani kubwa na mbaya kiasi cha kuhurumiwa na kuombewa huruma ya Mungu hivyo?🐒
Awazavyo Mungu wa mbinguni sivyo tuwazavyo sisi 😂
 
Ni ushauri tu Kwa wale mlioko Kwenye nafasi za uteuzi

Msiendekeze undugu na urafiki

Mtanishukuru baada ya Uchaguzi

Nawatakia Dominica Njema 😄
Kungekuwa na chaguzi za kweli, ccm wangehangaika kutafuta watu sahihi. Lakini kwa huu uchaguzi unaoamuliwa na wahesabu kura wana hofu ya nini?
 
namna hiyo wanategemea dola washike, mawazo yao wanafikiri watanzania ni wajinga wasio weza kutizama mfumo wao wa kujisimamia na kuwapima
Watanzania wapi unawaongelea, wakati huko kwenye vituo vya kujiandikisha kupiga kura mahudhurio ni aibu?
 
Kungekuwa na chaguzi za kweli, ccm wangehangaika kutafuta watu sahihi. Lakini kwa huu uchaguzi unaoamuliwa na wahesabu kura wana hofu ya nini?
Namkumbuka 2014 Kawe tulipata tabu sana 😂
 
Back
Top Bottom