CCM tuache kuvaa sare kwa kuvizia, tutembee vifua mbele kama awamu ya 5!

CCM tuache kuvaa sare kwa kuvizia, tutembee vifua mbele kama awamu ya 5!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kuna baadhi ya wana-CCM wana tabia kama za Madereva na Makondakta wa Daladala wanaovaa sare kwa kuogopa askari na si kwa kuipenda kazi yao.

Kanuni zinasema ni lazima kuvaa sare wakati u napotekeleza majukumu muhimu ya chama.

Msiwe kama Chadema waliotupa yale magwanda yao ya kikamanda.
 
Awamu ya 5 watu walikamatwa kwa kuisema serikali vibaya huko magengeni na vijiwe vya kahawa, raia waliogopa kuongea siasa kwenye daladala achilia mbali kumzomea aliyevaa nguo za ccm.
 
Tumeipenda wenyewe
20220718_073809.jpg
 
Awamu ya 5 watu walikamatwa kwa kuisema serikali vibaya huko magengeni na vijiwe vya kahawa, raia waliogopa kuongea siasa kwenye daladala achilia mbali kumzomea aliyevaa nguo za ccm.
Kwani siku hizi kwenye Daladala mnaongea siasa?
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Kuna baadhi ya wanaccm Wana tabia kama za Madereva na Makondakta wa Daladala wanaovaa sare kwa kuogopa askari na si kwa kuipenda Kazi yao

Kanuni zinasema ni lazima kuvaa sare wakati u napotekeleza majukumu muhimu ya chama

Msiwe kama Chadema waliotupa yale magwanda yao ya kikamanda

Kuiongelea CHADEMA kila siku ni ishara kwamba unaipenda. Karibuni Sana upate kadi ya electronic.
 
Katiba mpya itasimamia vyama kutekeleza majukumu yao ipasavyo bila longo longo!hata wanachama hawatoona Soni kuvaa sare zao za vyama kwasababu vyama vyote vitakavyo shika hatamu vitatumikia malengo ya kitaifa!!!

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!!
 
Kuna baadhi ya wana-CCM wana tabia kama za Madereva na Makondakta wa Daladala wanaovaa sare kwa kuogopa askari na si kwa kuipenda kazi yao.

Kanuni zinasema ni lazima kuvaa sare wakati u napotekeleza majukumu muhimu ya chama.

Msiwe kama Chadema waliotupa yale magwanda yao ya kikamanda.
Aliyekusomesha alipoteza Fedha zake Bora ANGEHONGA na Kunywea Pombe
 
Back
Top Bottom