CCM tuache kuvaa sare kwa kuvizia, tutembee vifua mbele kama awamu ya 5!

CCM tuache kuvaa sare kwa kuvizia, tutembee vifua mbele kama awamu ya 5!

Awamu iliyojaa wizi na ujambazi wa kura, unyanyasaji, ukatili na uuaji ndio unaiita kutembea kifua mbele? Ujinga mtupu
 
Kuna baadhi ya wana-CCM wana tabia kama za Madereva na Makondakta wa Daladala wanaovaa sare kwa kuogopa askari na si kwa kuipenda kazi yao.

Kanuni zinasema ni lazima kuvaa sare wakati u napotekeleza majukumu muhimu ya chama.

Msiwe kama Chadema waliotupa yale magwanda yao ya kikamanda.
Kwani wanavizia? Unless ni hawajiamini.
 
Back
Top Bottom