Kuna baadhi ya wana-CCM wana tabia kama za Madereva na Makondakta wa Daladala wanaovaa sare kwa kuogopa askari na si kwa kuipenda kazi yao.
Kanuni zinasema ni lazima kuvaa sare wakati u napotekeleza majukumu muhimu ya chama.
Msiwe kama Chadema waliotupa yale magwanda yao ya kikamanda.