CCM tuambieni hivi mnaenda mbele au mnarudi nyuma?

Maswa Yetu

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2023
Posts
1,398
Reaction score
2,619
Uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 tuliambiwa ccm ni tajiri haitapigia magoti wadau kuomba pesa za kufanikisha uchaguzi na ni kweli mpaka uchaguzi unaisha hatukuona kiongozi wa CCM akiita waandishi wa habari kuomba msaada lakini baada ya miaka 5 (2025) tunaambiwa ccm haina hela za kufanikisha mchakato wa uchaguzi na inaomba msaada kwa wadau waichangie angalau billion 100!!!!.

Hivi tunaenda mbele au tunarudi nyuma?

Rais Samia ana hela za kugawa baiskeli na pikipiki nchi nzima ila kumbe chama chake hakina hela?

Kwa kweli inasikitisha sana kwa akili za aina hii za viongozi wetu.
 
Uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 tuliambiwa ccm ni tajiri haitapigia magoti wadau kuomba pesa za kufanikisha uchaguzi na ni kweli mpaka uchaguzi unaisha hatukuona kiongozi wa ccm akiita waandishi wa habari kuomba msaada lakini baada ya miaka 5 (2025) tunaambiwa ccm haina hela za kufanikisha mchakato wa uchaguzi na inaomba msaada kwa wadau waichangie angalau billion 100!!!!. Hivi tunaenda mbele au tunarudi nyuma?

Mjomba hoja hapo siyo Harambee bali ni kuujulisha umma kwamba CCM ipo.

Nadhani unakumbuka namna ambavyo zoezi la Mgombea na Mwenza wake lilivyobuma!! Watanzania walilikataa kwa vitendo.

Sasa leo mtalazimishwa kulitazama live kwenye TV station zote.

Hapa ndo Polepole angetia timu leo uone watakavyopotezwa. Ha ha ha haa
 
Kwa kweli inasikitisha sana
 
Uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 tuliambiwa ccm ni tajiri haitapigia magoti wadau kuomba pesa za kufanikisha uchaguzi na ni kweli mpaka uchaguzi unaisha hatukuona kiongozi wa ccm akiita waandishi wa habari kuomba msaada lakini baada ya miaka 5 (2025) tunaambiwa ccm haina hela za kufanikisha mchakato wa uchaguzi na inaomba msaada kwa wadau waichangie angalau billion 100!!!!. Hivi tunaenda mbele au tunarudi nyuma?
Rais Samia ana hela za kugawa baiskeli na pikipiki nchi nzima ila kumbe chama chake hakina hela?

Kwa kweli inasikitisha sana kwa akili za aina hii za viongozi wetu.
Alafu Kuna watu unawaona wanasema magufuli aliifilisi nchi kuliko Samia unabaki unasema kweli duniani Kuna watu na viatu
 
Uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 tuliambiwa ccm ni tajiri haitapigia magoti wadau kuomba pesa za kufanikisha uchaguzi na ni kweli mpaka uchaguzi unaisha hatukuona kiongozi wa ccm akiita waandishi wa habari kuomba msaada lakini baada ya miaka 5 (2025) tunaambiwa ccm haina hela za kufanikisha mchakato wa uchaguzi na inaomba msaada kwa wadau waichangie angalau billion 100!!!!. Hivi tunaenda mbele au tunarudi nyuma?
Rais Samia ana hela za kugawa baiskeli na pikipiki nchi nzima ila kumbe chama chake hakina hela?

Kwa kweli inasikitisha sana kwa akili za aina hii za viongozi wetu.
Tumekosa Siasa safi na Uongozi Bora na hapo ndipo tatizo linapoanzia.
 
Uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 tuliambiwa ccm ni tajiri haitapigia magoti wadau kuomba pesa za kufanikisha uchaguzi na ni kweli mpaka uchaguzi unaisha hatukuona kiongozi wa CCM akiita waandishi wa habari kuomba msaada lakini baada ya miaka 5 (2025) tunaambiwa ccm haina hela za kufanikisha mchakato wa uchaguzi na inaomba msaada kwa wadau waichangie angalau billion 100!!!!.

Hivi tunaenda mbele au tunarudi nyuma?

Rais Samia ana hela za kugawa baiskeli na pikipiki nchi nzima ila kumbe chama chake hakina hela?

Kwa kweli inasikitisha sana kwa akili za aina hii za viongozi wetu.
Hahaaa eti yukose hela ya kampeni my foot🚮🚮🚮🚮
 
Muulioze MWASHAMBA?
 
Back
Top Bottom