Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,898
- 40,547
Imekuwa kawaida Sasa. Mtu akitoka akasema Polisi inateka au inanyamazia utekaji badala ya Polisi kujibu CCM ndo wanaibuka kujibu.
Mtu akisema vyombo vya Dola cinanyamazia utekaji CCM wanaibuka kupinga na kuleta mifano ya 1983.
Sasa tokeni hadharani atuambie tuache kuvisema vyombo vya Dola tuiseme CCM moja Kwa moja maana mnafurahia watu Kufa.