Kwa wapanga mikakati wa ccm,fanyeni kumtumia Makonda na Jokate Mwegelo kuleta upili wa Nape na Kinana enzi zile,lazima Wapinzani wapoteane.
Mkiweza mnaweza muongeza Fakii Lukandala akawa na kundi lake la yule DC wa Mbomero na mlima Nyanya kuwe na makundi 2 huko site.
Hii itasiidia wazee kina Nchimbi kujikita zaidi kwenye masuala ya Maadili Kwa sababu Wazee hawana amsha amsha Kwa niaba ya Mama.
Ni ushauri tuu lakini sio lazima muufuate.
View: https://twitter.com/ccm_tanzania/status/1748945924896788618?t=4h27YhX5ce7kIDPKmQqkbw&s=19
My Take: Machadema yakisikia Makonda Pichu zinalegea.
Chuma kinatema Cheche
View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1748735759819935758?t=fe-EU80bPxvs0XSSz7G2rw&s=19
Wajenge uaminifu Kwa wananchi?
Kwani uaminifu mliubomoa lini Hadi muujenge?
Kila siku Huwa mnasema hata wananchi wasipopiga kura ninyi mtaendelea kushika Dola,
Wananchi wakazi Gani tena?