Pre GE2025 CCM Tumieni Combination ya Paul Makonda & Jokate Mwegelo Kuwapoteza Wapinzani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wajenge uaminifu Kwa wananchi?

Kwani uaminifu mliubomoa lini Hadi muujenge?

Kila siku Huwa mnasema hata wananchi wasipopiga kura ninyi mtaendelea kushika Dola,

Wananchi wakazi Gani tena?
 
Ukitaka iwe hivyo labda wagawe kofia na ub Ukitaka iwe hivyo labda wagawe tshirt na kofia kila mkutano na ubwabwa bure, vinginevyo wataendelea kusinyaa mpaka uchaguzi unafika hakuna walichofanya cha maana.
 
Wapinzani wapotezwe na hizo mbinu outdated?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…