PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,175
Niombi langu kwa chama cha mapinduzi. Maana hali ya viwanja ni mbaya sana uwanja umejaa vipara pich imeharibika wachezaji wanapata tabu kucheza. Jaribuni kufanyia matengenezo. Ni aibu chama kikubwa kushindwa kutunza viwanja vyake.