CCM tunaomba mkarabati viwanja vyenu vya mpira

CCM tunaomba mkarabati viwanja vyenu vya mpira

PRINCE CROWN

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,210
Reaction score
4,175
Niombi langu kwa chama cha mapinduzi. Maana hali ya viwanja ni mbaya sana uwanja umejaa vipara pich imeharibika wachezaji wanapata tabu kucheza. Jaribuni kufanyia matengenezo. Ni aibu chama kikubwa kushindwa kutunza viwanja vyake.
 
Mkuu wao sindio wanavimiliki kwa sasa? Ndio maana nimewaomba wajaribu kuvikarabati.
 
Mkuu wao sindio wanavimiliki kwa sasa? Ndio maana nimewaomba wajaribu kuvikarabati.
 
Back
Top Bottom