PRINCE CROWN JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,210 Reaction score 4,175 Feb 6, 2019 #1 Niombi langu kwa chama cha mapinduzi. Maana hali ya viwanja ni mbaya sana uwanja umejaa vipara pich imeharibika wachezaji wanapata tabu kucheza. Jaribuni kufanyia matengenezo. Ni aibu chama kikubwa kushindwa kutunza viwanja vyake.
Niombi langu kwa chama cha mapinduzi. Maana hali ya viwanja ni mbaya sana uwanja umejaa vipara pich imeharibika wachezaji wanapata tabu kucheza. Jaribuni kufanyia matengenezo. Ni aibu chama kikubwa kushindwa kutunza viwanja vyake.
Baba Ndumbwi JF-Expert Member Joined Jun 30, 2013 Posts 447 Reaction score 712 Feb 6, 2019 #2 Siyo viwanja vyao vilijengwa kwa nguvu ya umma km shule za kata wala si ruzuku ya chama Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo viwanja vyao vilijengwa kwa nguvu ya umma km shule za kata wala si ruzuku ya chama Sent using Jamii Forums mobile app
PRINCE CROWN JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,210 Reaction score 4,175 Feb 6, 2019 Thread starter #3 Mkuu wao sindio wanavimiliki kwa sasa? Ndio maana nimewaomba wajaribu kuvikarabati.
PRINCE CROWN JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,210 Reaction score 4,175 Feb 6, 2019 Thread starter #4 Mkuu wao sindio wanavimiliki kwa sasa? Ndio maana nimewaomba wajaribu kuvikarabati.
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 16,784 Reaction score 23,312 Feb 6, 2019 #5 Mmeanza kutafuta sababu Leo ndio mnajua viwanja vinahitaji ukatabati