CCM tusiache kulindana, Tunaona wenzetu wanavutwa mmoja mmoja mahakamani

Mtoa uzi, jipige kifua sema mimi ni KUBWA JINGA,

Yaani watu waachiwe hata wakifanya maovu kisa wao CCM??? Narudia tena wewe ni kubwa jinga
 
Kwani wewe ndiye slowslow, au kondaboy?
 
Kama alifungwa Basil Mramba na Daniel Yona, hawo wengine ni nani kwenye nchi hii?
Kama ulivunja sheria, bila kujali wewe ni wa chama gani hakika mahakamani utafika tu.
 
mlidhani mkiwamaliza wapinzani mtabaki salama. Mungu ameruhusu roho ya mafarakano iingie ndani ya ccm.....na bado mtachunana ngozi mpaka mkome. Usalama wenu ni kuacha kutesa wapinzani kama alivyokuwa JK. Kila kambi ilikuwa shwari
 
Adui hauwawi, hateswi, hafungwi Wala kunyanyaswa ila anaombewa njaa tu, na hicho ndio kilichowakuta wanakijani, Sasa wanakaribia kuwa kitoweo Cha wao wenyewe kwa wenyewe.
 
mlidhani mkiwamaliza wapinzani mtabaki salama. Mungu ameruhusu roho ya mafarakano iingie ndani ya ccm.....na bado mtachunana ngozi mpaka mkome. Usalama wenu ni kuacha kutesa wapinzani kama alivyokuwa JK. Kila kambi ilikuwa shwari
Ujumbe mzito sana na kama atakuwa na busara lazima leo akafanye kitubio
 
Adui hauwawi, hateswi, hafungungwi Wala kunyanyaswa ila anaombewa njaa tu, na hicho ndio kilichowakuta wanakijani, Sasa wanakaribia kuwa kitoweo Cha wao wenyewe kwa wenyewe.
Wacha wamalizane ili kila kambi ianze upya.
 
Kama alifungwa Basil Mramba na Daniel Yona, hawo wengine ni nani kwenye nchi hii?
Kama ulivunja sheria, bila kujali wewe ni wa chama gani hakika mahakamani utafika tu.
Umenikumbusha Mramba mwishoni alipewa kufanya kazi za jamii akawa anafuta vumbi kwenye ofisi moja hapa town.
 
Hawajui kama Mungu ni wa wote.
Nyinyi ndio hamjui,mnapingana na Mungu,CCM imechaguliwa kuwa mnadhimu Mkuu wa Nchi hii na dalili zote zinaonekana hakuna chama mbadala zaidi ya CCM,japo hamtaki,hamkubali mnajifanya ni wapinzani na kujiita eti Chama kikuu cha upinzani ,na sio mbaya jina hilo linawafaa ila mbadilishane ,ilikuwepo CUF alafu Chadema pengine Mwakani tukawazawadia ACT...! Hilo tunalipanga sisi tunapotaka chama fulani kiwe kikuu cha upinzani na sio nyinyi,

Wito kwa wana CCM wenzangu njia ni moja tu tusiache kabisa kulindana na hawa vitimbakwiri wasipewe nafasi ya kutufarakanisha,kama tunavyojua CCM tuna taratibu zetu na mipango yetu.

Hawa wapinga maendeleo na wachochezi wa siasa za ulipuaji ni hatari sana,Mungu alitujaalia tukaunganisha Vyama vyetu na leo tunaendelea kuijenga Nchi katika misingi imara kabisa,kukosea njia kupo na kwa taratibu zetu tunarekebishana na kazi inaendelea.

Hawa viongozi wanaojiita wa upinzani huzuka kama huyoga na kupotea wengine hutimkia ughaibuni wakiwaacha waliowapoteza njia wakipata shida na tabu wao wanakula kuku kwa mrija na inaonyesha siku hizi weshaanza kuachana maana CCM inazidi kukubalika na kizazi kipya.

Mungu ameichagua CCM kuwa ndio Chama cha kuiongoza Tanzania na maana hiki Chama kimetokana na Umoja na ndio wito,hivi vyama si vilitaka kufanya umoja viliishia wapi,ndio waligawana mbao ,vikajenga ukuta ukawaangukia ,CCM tumebarikiwa hii nchi.
 
ukiwa ccm raha sana, hata ukimchinja mtu hadharani na kufanya uhalifu wa kila aina, mfumo wa chama dola utakulinda.

tulio ndani ya ccm, tuendelee kuupiga mwingi katika kuvunja sheria za nchi, tutalindwa na chama.
 
Utawala uliofitinika lindaneni vizuri, ili mfitinike vyema zaidi na kufaralana na hatinaye kupotea kabisa, kwa viwango vyenu vya uovu mnavyovionyesha.
 
ukiwa ccm raha sana, hata ukimchinja mtu hadharani na kufanya uhalifu wa kila aina, mfumo wa chama dola utakulinda.

tulio ndani ya ccm, tuendelee kuupiga mwingi katika kuvunja sheria za nchi, tutalindwa na chama.
Hao ni akina shocker, kinuji, Yehodava,Comte na washirika wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…