Uchaguzi 2020 CCM tuwe wakweli, mpaka mwisho wa kampeni tunaweza tukashindwa vibaya sana

Uchaguzi 2020 CCM tuwe wakweli, mpaka mwisho wa kampeni tunaweza tukashindwa vibaya sana

CCM bado sana kutoka madarakani,bado tena sana tu.yanayotokea sasa pia yashatokea chaguzi zilizopita lakini CCM ni chuma cha pua,ushindi wa CCM mwaka huu ni zaidi ya 90%.
NI KWELI NDO MAANA MMEENGUA WAGOMBEA WA UPINZANI 🤣🤣🤣🤣 TET TE TE TE TE TE TE 🤣🤣 UJINGA NI SAWA NA ZIGO LA MAVI😂😂🤣🤣😅😅😄😄😃😁😁 HONGERA SANA KWA KUCHAGUA UJINGA...🤣🤣
 
Hili swali nilijiuliza baada ya kuona mabango na mabendera ya CCM yanalazimishwa kila kona mpaka maeneo ambayo hayastahili.

Nikajiuliza kwa muda ambao CCM imetawala walikuwa hawana hata haja ya kuvaa sare wala kutumia wasanii na nguvu kubwa kiasi hicho,

Ukiona nguvu kubwa inatumika ujue hawakubaliki na wao wanatambua hivyo.

Ni kweli. Hilo lipo wazi kuwa CCM haikubaliki. Ijiandae kuwa KANU Oktoba 28, 2020.
 
Vingine polepole hana majibu mfano ishu ya cheti Cha kuzaliwa
 
Wewe hujawahi kuwa CC M!

Siku hizi wapinzani wamekuwa watoa ushauri kwa CCM!

Kwani hutaki CCM ishindwe uchaguzi!

Yaani kuna wajinga wanaamini CCM itashindwa katika Uchaguzi huu!
Safari hii hata wizi wenu muufanye kwa akili sana ,msilete ubabe wa kuingiza masanduku yenu ya kura
 
Mimi ni Chadema ila Ilani yetu hailewek i ya ubabaishaji mno.suala la majimbo limetuvua nguo
Wewe uelewa wa mambo ya mifumo ya kiutawala ndio mbumbumbu, huelewi kitu hapo, pamoja na kwamba mnajaribu kufafanuliwa lkn wapi.

Anyway, hata darasani wale wenye uelewa mdogo lazima wawepo tu hata mwalimu akeshe nao kila siku ni kazi bure tu.
 
Yaani wewe huja wapima tuu miaka 60 waliyo tutesa na kuifanya hii nchi takataka? Una taka uwapime kwa miaka mitano? Are you serious??? Mungu akusamehe maana hukui hatma ya maisha yako.

Labda hukuelewa Nia yangu ndugu Kama ccm inajinadi tupo uchumi wa Kati alafu bado tuna shida ya maji safi na salama Tena sio mbali mfn kanda ya ziwa

Bado Huduma za afya hafifu katika ma hospitali ya serikali ukibisha pata mgonjwaa ndipo utajua

Tupo karne ya 21 bado Hatuna madawati na matundu ya vyoo vya kutoshaa KWENYE mashule ya serikali

Hatuna sababu ya kuirudisha ccm madarakani Hatuna sababu...

Hata bunge zima liwe ccm tupu bado hawata fanya lolote....

hata serikali za mitaa, udiwani, Ubunge na urais wakiwa wao CCM pekeao still bado hawataweza kutatua Changamoto za Tanzania

Serikali ya ccm inabidi ifundishwe maana halisi ya Opposition party serikali iliyopo madarakani inatakiwa iwekwe bench japo KWA MIAKA kadhaa
 
Hiyo uliyotumia ni takwimu ya uwanja wa chato

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app

Hadi wiki iliyopita CCM walikua na uhakika wa kura 24M, jumla ya wapiga kura ni 29M. Kila siku wana target ya kuongeza wapiga kura toka chadema.
Sasa usishangae wewe unapost hapa lakini nyumba yako yote inampigia kura Magufuli. Kura ni siri
 
Mimi na na familia yangu hatutampigia Jiwe kura. Akalale salama Chato.

1600792140172.png
 
Kitu ambacho narudia mara ya pili kikisisitiza, ni kwanini Mzee baba anafanya kazi ya kujibu hoja za Tundu ambaye ana akili nyingi sana na sasa ameshamjuia anacheza na milio ya midundo yake. Mimi nilisema mzee ajikite zaidi kuelezea anayotaka kuyafanya badala ya kuhangaika kumjibu Tundu, hii kazi ifanywe na kina Polepole. Hivi CCM mpya tuna shida gani tunakosa ubunifu sisi?

Tuelekeako mbele ya safari tutajikuta tunajibu hoja za Tundu tukasahau yaliyoko mbeleni. Huyu jamaa ana taarifa zote za mahali tunakoteleza, wapo watumishi wa umma wasio waaminifu wanatoa haya.Sasa tinavyozidi kumjibu ndivyo anavyozidi kuyatoa mengi ya ndani na sisi tutaendelea kumjibu.

Hawa jamaa ni wa ajabu sana, wameficha silaha zao pembeni za kampeni kama vile katibu mkuu na naibu wake, mwenyekiti wao pia wamemtangulizia Mgombea na mgombea mwenza na viongozi wa kikanda. Wanataka mwishoni watumalize sisi ambao kila safari tunaambatana timu yote.
Mahanju huijui vyema CCM. Unaweza kuhisi Mgombea wake anacheza ngoma ya Lissu kumbe Lissu ndio anacheza ya CCM! CCM ina mikakati mingi ya kisayansi ya kujihakikishia ushindi. Tulioko site tunamwonea huruma Lissu!
 
Back
Top Bottom