Ukana Shilungo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 3,041
- 2,422
NI KWELI NDO MAANA MMEENGUA WAGOMBEA WA UPINZANI π€£π€£π€£π€£ TET TE TE TE TE TE TE π€£π€£ UJINGA NI SAWA NA ZIGO LA MAVIπππ€£π€£π π πππππ HONGERA SANA KWA KUCHAGUA UJINGA...π€£π€£CCM bado sana kutoka madarakani,bado tena sana tu.yanayotokea sasa pia yashatokea chaguzi zilizopita lakini CCM ni chuma cha pua,ushindi wa CCM mwaka huu ni zaidi ya 90%.
Hili swali nilijiuliza baada ya kuona mabango na mabendera ya CCM yanalazimishwa kila kona mpaka maeneo ambayo hayastahili.
Nikajiuliza kwa muda ambao CCM imetawala walikuwa hawana hata haja ya kuvaa sare wala kutumia wasanii na nguvu kubwa kiasi hicho,
Ukiona nguvu kubwa inatumika ujue hawakubaliki na wao wanatambua hivyo.
Mweupe kwenye reasoningTuwe wakweli tuache unafki, mzee baba kuna mahali anachemka sanaa
Safari hii hata wizi wenu muufanye kwa akili sana ,msilete ubabe wa kuingiza masanduku yenu ya kuraWewe hujawahi kuwa CC M!
Siku hizi wapinzani wamekuwa watoa ushauri kwa CCM!
Kwani hutaki CCM ishindwe uchaguzi!
Yaani kuna wajinga wanaamini CCM itashindwa katika Uchaguzi huu!
Wewe uelewa wa mambo ya mifumo ya kiutawala ndio mbumbumbu, huelewi kitu hapo, pamoja na kwamba mnajaribu kufafanuliwa lkn wapi.Mimi ni Chadema ila Ilani yetu hailewek i ya ubabaishaji mno.suala la majimbo limetuvua nguo
Yaani wewe huja wapima tuu miaka 60 waliyo tutesa na kuifanya hii nchi takataka? Una taka uwapime kwa miaka mitano? Are you serious??? Mungu akusamehe maana hukui hatma ya maisha yako.
Mimi na na familia yangu hatutampigia Jiwe kura. Akalale salama Chato.
Mahanju huijui vyema CCM. Unaweza kuhisi Mgombea wake anacheza ngoma ya Lissu kumbe Lissu ndio anacheza ya CCM! CCM ina mikakati mingi ya kisayansi ya kujihakikishia ushindi. Tulioko site tunamwonea huruma Lissu!Kitu ambacho narudia mara ya pili kikisisitiza, ni kwanini Mzee baba anafanya kazi ya kujibu hoja za Tundu ambaye ana akili nyingi sana na sasa ameshamjuia anacheza na milio ya midundo yake. Mimi nilisema mzee ajikite zaidi kuelezea anayotaka kuyafanya badala ya kuhangaika kumjibu Tundu, hii kazi ifanywe na kina Polepole. Hivi CCM mpya tuna shida gani tunakosa ubunifu sisi?
Tuelekeako mbele ya safari tutajikuta tunajibu hoja za Tundu tukasahau yaliyoko mbeleni. Huyu jamaa ana taarifa zote za mahali tunakoteleza, wapo watumishi wa umma wasio waaminifu wanatoa haya.Sasa tinavyozidi kumjibu ndivyo anavyozidi kuyatoa mengi ya ndani na sisi tutaendelea kumjibu.
Hawa jamaa ni wa ajabu sana, wameficha silaha zao pembeni za kampeni kama vile katibu mkuu na naibu wake, mwenyekiti wao pia wamemtangulizia Mgombea na mgombea mwenza na viongozi wa kikanda. Wanataka mwishoni watumalize sisi ambao kila safari tunaambatana timu yote.