Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wameibeba Tanzania mabegani , basi waitue tuendelee na safariHii ni kwa sababu mtu aliyewasingizia bila ushahidi amepewa Cheo ndani ya Chama na hajawahi kuomba radhi kwa uongo wake huo .
Taarifa zaidi zinadokeza kwamba watakaojiuzulu wanatoka ndani ya Chama na serikalini , lengo likiwa ni kulinda heshima zao binafsi na familia zao
"AMANG'ANA GASARIKILE"
Mtaachiwa kila kitu muendelee nachoWameibeba Tanzania mabegani , basi waitue tuendelee na safari
Naunga mkono hojaWaondoke ccm ni taasisi kubwa haimtegemei mtu mmoja.
Wewe endelea kuwa chawa , sisi tutaendelea kukuletea usiyoyajuaNaona mmeshindwa kuwatuliza Lissu na Mbowe wakae chungu kimoja mnaunga unga vistori vyenu
Makonda amewapelekea moto sana hizi week mpaka mmesahau operesheni changia mwenyekiti
watu wengi mnoo wanataka hizo kazi wamechelewa wafanye hivyo hata Leo maana watanzania million 60 na wanaccm million 20+ mzee WA miaka 72 akiachia madaraka ni shangweHii ni kwa sababu mtu aliyewasingizia bila ushahidi amepewa Cheo ndani ya Chama na hajawahi kuomba radhi kwa uongo wake huo .
Taarifa zaidi zinadokeza kwamba watakaojiuzulu wanatoka ndani ya Chama na serikalini , lengo likiwa ni kulinda heshima zao binafsi na familia zao
"AMANG'ANA GASARIKILE"
waondoke Mara moja tena fastaa mbweha haoo wamejimilikisha Chama utazani wao ni akina NyerereKumbe watu wenyewe ni watuhumiwa wa kuuza sembe?!
Na mtoto wa yule mkubwa wa zamani naye yumo?
Labda ccm itapata ahueni!
Huna unachofahamu ndani ya CcmWewe endelea kuwa chawa , sisi tutaendelea kukuletea usiyoyajua
Ndugu usihadaike nao hao jamaa.Hii ni kwa sababu mtu aliyewasingizia bila ushahidi amepewa Cheo ndani ya Chama na hajawahi kuomba radhi kwa uongo wake huo .
Taarifa zaidi zinadokeza kwamba watakaojiuzulu wanatoka ndani ya Chama na serikalini , lengo likiwa ni kulinda heshima zao binafsi na familia zao
"AMANG'ANA GASARIKILE"
Yekhe Mura?Hii ni kwa sababu mtu aliyewasingizia bila ushahidi amepewa Cheo ndani ya Chama na hajawahi kuomba radhi kwa uongo wake huo .
Taarifa zaidi zinadokeza kwamba watakaojiuzulu wanatoka ndani ya Chama na serikalini , lengo likiwa ni kulinda heshima zao binafsi na familia zao
"AMANG'ANA GASARIKILE"
Kwanza uwepo wake hadi sasa unawashangaza 95% ya wana ccm..huyu si alistaafu akaenda Canada kukaa na familia yake.watu wengi mnoo wanataka hizo kazi wamechelewa wafanye hivyo hata Leo maana watanzania million 60 na wanaccm million 20+ mzee WA miaka 72 akiachia madaraka ni shangwe
niko makini mno !Ndugu usihadaike nao hao jamaa.
Haya maigizo yameandaliwa kwa minajili ya 2025.
Soma alama za nyakati
Unakumbuka ile ofisi ya masaki 2015 ?Waondoke ccm ni taasisi kubwa haimtegemei mtu mmoja.