CCM Vipande vipande, waliotuhumiwa kuuza madawa ya kulevya awamu ya 5 wapanga kujiuzulu

CCM Vipande vipande, waliotuhumiwa kuuza madawa ya kulevya awamu ya 5 wapanga kujiuzulu

Hii ni kwa sababu mtu aliyewasingizia bila ushahidi amepewa Cheo ndani ya Chama na hajawahi kuomba radhi kwa uongo wake huo .

Taarifa zaidi zinadokeza kwamba watakaojiuzulu wanatoka ndani ya Chama na serikalini , lengo likiwa ni kulinda heshima zao binafsi na familia zao

"AMANG'ANA GASARIKILE"
Kama ni kweli wako sahihi kabisa
 
Wanatakiwa wakijiuzulu na wafe kabisa wasiwepo itakuwa furaha sana...hao ndio mafisadi na wanaoshirikiana na wakwepa kodi..hii nchi imechoka umaskini kwasababu yao.
 
Naona mmeshindwa kuwatuliza Lissu na Mbowe wakae chungu kimoja mnaunga unga vistori vyenu

Makonda amewapelekea moto sana hizi week mpaka mmesahau operesheni changia mwenyekiti
Acha ujinga, Makonda hawezi kuwa tatizo la Mbowe na Lissu hata kidogo

Tatizo la Lissu na Mbowe ni kuhusu uchaguzi ujao. Kuna mmoja anataka kwenda kwenye uchaguzi hata kama hakutapatikana tume huru ya uchaguzi na mwengine anaona kufanya hivyo ni kujilisha upepo

Kwahiyo wapo katka majadiriano na wala sio kwa huyo mpuuzi Makonda ambaye hajui hata anachokifanya.

Makonda sanasana ataikosti CCM maana hajui kutofautisha vyeo vya kiserikali na vyeo vya kichama na ndio maana anawakwaza sna wana ccm wanzake
 
CCM Ni moja na wana CCM Ni wamoja na tunasonga mbele kwa pamoja. Hakuna mgawanyiko wala migogoro ndani ya CCM na Ndani ya serikali yake.ndio maana shughuli za chama na serikali zinakwenda vizuri kabisa pasipo kukwama wala kusua sua.
 
Hii ni kwa sababu mtu aliyewasingizia bila ushahidi amepewa Cheo ndani ya Chama na hajawahi kuomba radhi kwa uongo wake huo .

Taarifa zaidi zinadokeza kwamba watakaojiuzulu wanatoka ndani ya Chama na serikalini , lengo likiwa ni kulinda heshima zao binafsi na familia zao

"AMANG'ANA GASARIKILE"
Kwani teuzi ulifanyika bila ushirikishwaji wa wakuu hao wa idara?, maana nafasi hiyo ili kumpata anayefaa kikao hukaa ili kupima nani anafaa.
 
Hii ni kwa sababu mtu aliyewasingizia bila ushahidi amepewa Cheo ndani ya Chama na hajawahi kuomba radhi kwa uongo wake huo .

Taarifa zaidi zinadokeza kwamba watakaojiuzulu wanatoka ndani ya Chama na serikalini , lengo likiwa ni kulinda heshima zao binafsi na familia zao

"AMANG'ANA GASARIKILE"
Inashangaza sana BASHITE kupewa Cheo utadhani Ccm haina watu makini wasio na Tuhuma

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Hii ni kwa sababu mtu aliyewasingizia bila ushahidi amepewa Cheo ndani ya Chama na hajawahi kuomba radhi kwa uongo wake huo .

Taarifa zaidi zinadokeza kwamba watakaojiuzulu wanatoka ndani ya Chama na serikalini , lengo likiwa ni kulinda heshima zao binafsi na familia zao

"AMANG'ANA GASARIKILE"
HAWAKUSINGIZIWA. UKIONA MTU HUYO AMEPEWA CHEO MAANA YAKE ALIKUWA SAHIHI. NA HAO WATU MBONA HAWAJAJIUZULU MPAKA SASA? SISI CHADEMA TULISEMA MAKONDA NDO ALIKUWA MUUAJI. LAKINI HAKUNA HATA KESI TULIENDA FUNGUA. MI NADHANI TUMUACHE AFANYE KAZI YAKE.
 
Hii ni kwa sababu mtu aliyewasingizia bila ushahidi amepewa Cheo ndani ya Chama na hajawahi kuomba radhi kwa uongo wake huo .

Taarifa zaidi zinadokeza kwamba watakaojiuzulu wanatoka ndani ya Chama na serikalini , lengo likiwa ni kulinda heshima zao binafsi na familia zao

"AMANG'ANA GASARIKILE"
Nitashangaa sana wakijuzulu,kihekima kabisa walipaswa kukataa teuzi wakisema ni zamu ya vijana!!!!

Kupambana na madawa haukuwa mpango wa makonda Bali mfumo.na alifanikiwa.pakubwa sana!!

Check and Balance ni nzuri!!

Wajiuzulu waachiwe vijana hamna namna!!
 
Nilijua tu uchawa wako kwa Samia ni wa kutumwa...

Wanaokutuma ndio wanaommiliki bosi wako...

Eti unakumbuka ofisi ya masaki 2015!!!

Tatizo ccm mliingia kwa uchawa huku hamjui njia zake.
 
Yaani kidingii miaka 50+ unakuwa chawa wa the Bashite 🤭
Duh...!.
Sijui watu mnapata faida gani kuzua uongo, fitna na majungu?.
Hao waliotuhumiwa wasijiuzulu pale walipotuhumiwa waje wajiuzulu leo?!. Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! . na uendelee kuwapelekea moto hawa jamaa zetu, uzushi kama huu ni dalili ya panic!, kuna watu wanatafutana!, tena hizi ni ziara za kusalimia tuu!, zikianza amsha amsha za 2025, kuna upinzani wowote utatusua? . Uchaguzi wa 2025 ni kama 2020 enzi za JPM! kwasababu Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli hivyo walio relax wakijua yule Mwanamume chuma has left aliyepo ni Mwanamke, hivyo 2025 ni mserereko!, sasa mmletewa chuma cha pua!. Kazi kwenu!.

P
 
Watu adui zako wanapata cheo. It's an every day thing. Kwa nini ujiuzulu?
Rais anapowapa wale watu vyei hakuulizi wewe maoni yako.
Hakuna ushahidi kwamba Makonda alimsingizia mtu yeyote. Makonda mwenyewe alisema alipoulizwa,mbona umeiacha hii kampeni dhidi ya madawa ya kulevya; Ah,bwana,wanasema niache,wanasema inaleta taharuki. "Huwezi hata kuamini ni nani wanaowafadhili hao watu"
Isipokuwa tu Makonda alipata matatizo mahakamani alipotaka kuwasaidia makahaba waliotelekezwa na watoto.
Nimemsikia dereva mmoja wa daladala(Musoma) anazungumza juzi.
Anasema,"Basi,bwana,wake wanawake wakaenda mahakamani kulalamika. Wakaitwa wazazi wa wale wanawake. Wakaulizwa mnawafahamu hawa jamaa wanaolalamikiwa? Wakasema hatujawaona hata siku moja. Basi,anasema,mahakama ikaamua,hayo mambo hayahusu mahakama,transactions za watu wanazofanya mitaani bila kuwashirikisha wazazi.
 
Naona mmeshindwa kuwatuliza Lissu na Mbowe wakae chungu kimoja mnaunga unga vistori vyenu

Makonda amewapelekea moto sana hizi week mpaka mmesahau operesheni changia mwenyekiti
Inaongelewa CCM, wewe umerukia CHADEMA. Kutoelewa kinachoongelewa ni ishara ya awali kabisa ya kukosa umakini. Na watu wa namna hii hata kwenye mitihani huambulia patupu. Unaulizwa kuhusu kilimo cha buni, wewe unaanza kuongelea mchezo wa mpira.
 
Back
Top Bottom