CCM Vipande vipande, waliotuhumiwa kuuza madawa ya kulevya awamu ya 5 wapanga kujiuzulu

Hakuna mwanasiasa au mtumishi wa Serikali hapa Tanzania anaweza akajiuzuru labda apewe shinikizo haswa
 
Hii ni kwa sababu mtu aliyewasingizia bila ushahidi amepewa Cheo ndani ya Chama na hajawahi kuomba radhi kwa uongo wake huo .

Taarifa zaidi zinadokeza kwamba watakaojiuzulu wanatoka ndani ya Chama na serikalini , lengo likiwa ni kulinda heshima zao binafsi na familia zao

"AMANG'ANA GASARIKILE"
hao watakua wanaelekea kwa mwabukusi bila shaka 🤣
 
Hii ni kwa sababu mtu aliyewasingizia bila ushahidi amepewa Cheo ndani ya Chama na hajawahi kuomba radhi kwa uongo wake huo .

Taarifa zaidi zinadokeza kwamba watakaojiuzulu wanatoka ndani ya Chama na serikalini , lengo likiwa ni kulinda heshima zao binafsi na familia zao

"AMANG'ANA GASARIKILE"
Sasa jomba ukiandika bila facts unataka kumfurahisha nani..leta facts tuzione wajameni....mang'ana hayajasarika bado..ni janjajanja ya mitandaoni tu..kajipange upya
 
Tanzania hii iliyojaa viongozi machawa jitu liachie cheo thubutu!! Hilo haliwezekani na halitokuja kutokea
 
Hii ni kwa sababu mtu aliyewasingizia bila ushahidi amepewa Cheo ndani ya Chama na hajawahi kuomba radhi kwa uongo wake huo .

Taarifa zaidi zinadokeza kwamba watakaojiuzulu wanatoka ndani ya Chama na serikalini , lengo likiwa ni kulinda heshima zao binafsi na familia zao

"AMANG'ANA GASARIKILE"
Watatoka CCM na kuhamia CDM a.k.a M4C
 
Karibu sana
Zamani ilikuwa mwanao akirudi Kutoka mjini ametajirika Kwa muda mfupi, wazazi walimkalisha kikao kumuuliza pesa umepataje pataje,

Sikuizi ukija umetajirika hata Kwa pesa za drugs unapokelewa Kwa Heshima, kaka zake wasiojaaliwa wanadharauliwa!!

Tutafika tu!!!
 
Haya
 
Kwakweli tokea nisikie CCM imegawanyika vipande vipande ni miaka mingi Sana na bado iliendelea kushinda uchaguzi hata kile kipindi kizito Cha 2015 Cha Mzee lowasa
 
Hii ni kwa sababu mtu aliyewasingizia bila ushahidi amepewa Cheo ndani ya Chama na hajawahi kuomba radhi kwa uongo wake huo .

Taarifa zaidi zinadokeza kwamba watakaojiuzulu wanatoka ndani ya Chama na serikalini , lengo likiwa ni kulinda heshima zao binafsi na familia zao

"AMANG'ANA GASARIKILE"
Zingatia neno "Kujiuzulu", hilo sahau.
 
Chadema ni Chama Makini. Umakini huo ndiyo uliowapelekea kumrdisha Mwendawazimu Konda Boy chamani eti ndiye anaewaweza Chadema.

Jiwe mwenyewe alinyoosha mikono kwa Chadema aje kuwa huyu Mpayukaji?? Aliwanunua kwa fedha na Vyeo Watendaji Wakuu Chadema lkn bado kikawa Imara kuliko Jana.

Kila wakati tunawaambia jitengeni na Vyombo vya Dola/ wekeni bunduki chini tupambaneni kwa HOJA.
Mkuu usiwaamshe balale kama kambare ya Juba
 
Kwakweli tokea nisikie CCM imegawanyika vipande vipande ni miaka mingi Sana na bado iliendelea kushinda uchaguzi hata kile kipindi kizito Cha 2015 Cha Mzee lowasa
Haikushinda 2015 na 2020
 
Back
Top Bottom