Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,170
- 3,067
Waondoke ccm ni taasisi kubwa haimtegemei mtu mmoja.
Muulize ndugu Lucas anavyoisakama chadema kuwa hakukaliki.
Hata mama etu mpendwa nae anasema kunawaka moto. Chadema itakuwa inamtegemea mtu mmoja bila shaka.